Hatimaye Magufuli amefanikiwa kuiweka CCM mfukoni mwake, tena mfuko wa shati huku akiibeba na kutembea nayo kwa bashasha na makeke mwake.
CCM ya sasa inaulizwa kilichopendekezwa na mwenyekiti tena kwa maneno "Si ndivyo jamani?" Kuwarahisishia wapwa na wakulungwa waliojazana humo kwa lengo la...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu naona imekuwa fashion kwa wasanii kila mmoja anatoa nyimbo za kumsifu Magufuli na CCM.
Hii si bure lazima kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia.
Inawezekana kabisa njaa imetawala kwa wanamuziki labda kutokana na janga la Covid-19 lililotukumba hapo nyuma. Au wanamuziki...
Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba
Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu...
Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni.
Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia.
Kitu...
LEO Julai 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Godfrey William Ngupula.
Mbali na uteuzi wa ACP Bulimba...
Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki .
Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana.
Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa...
USHINDI MKUBWA WA RAIS JOHN MAGUFULI, UTATOKA KWA WANYONGE NA WANANCHI WA KAWAIDA KABISA.
Leo 13:45pm 09/07/2020
Niseme wazi ya kwamba,Silaha kubwa ya Rais John Pombe Magufuli ni wananchi tena wale wanyonge na wa kawaida kabisa,na ushindi mkubwa wa Rais John Pombe Magufuli utatoka kwa asilimia...
MAGUFULI KIBOKO YA MASIKINI, MTETEZI WA MATAJIRI.
Na, Robert Heriel
Kuna watu hawamuelewi Mhe. Rais na hawatakuja kumuelewa kabisa. Leo nitakupa mbinu ndogo sana ya kumuelewa Mhe. Rais ambayo huenda ulikuwa huijui. Mbinu hiyo ni; Usimpende sana magufuli yaani usiwe na mahaba niue naye, pia...
Ikiwa unamwamini MUNGU utapaswa pia umwamini katika maombi unayoyafanya,
Ninakumbuka kwamba kipindi kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watanzania tulimwomba MUNGU sana kwa habari ya uchaguzi wa rais na kwamba tulikuwa tukimwomba MUNGU atupe rais ambaye atatufaa watanzania na ambaye angetuvusha na...
ULINZI WAIMARISHWA DODOMA:
Dodoma: 07 Julai, 2020
Wakati vikao vya uamuzi vya Chama Cha Mapinduzi vikitarajiwa kufanyika Jijini Dodoma, ukiwemo Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama hicho, Jeshi la Polisi limesema limeimarisha zaidi hali ya ulinzi na usalama.
Mkutano mkuu utafanyika Jumamosi na...
Mkutano Mkuu wa CCM unakutana hivi karibuni kumchagua mwana CCM wa kupeperusha bendera ya chama kwenye nafasi ya Urais wa Jamhuri wa Tanzania,msifanye makosa turudishieni JPM Ili akamilishe kazi aliyoibakiza kwenye ilani 2015-2025 na kuanzisha miradi mipya ili kuongeza kasi ya kwenda uchumi wa...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mh Jerry Muro amesema watendaji wa vijiji wamekuwa na tabia ya kuwataka wakuu wa wilaya watoke ofisini kwenda kuchoma moto mashamba ya bangi ilhali wao madc walishakatazwa na Rais Magufuli.
Muro amesema hayo wakati wa mkutano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha na viongozi...
The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics
Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu. Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki.
Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa...
Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi!
Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao.
Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano.
Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America.
Tunakumbuka mikutano ya...
Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.