Rais Magufuli pitia upya mkataba wa KQ na Tanzania

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
39,828
2,000
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania.

Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tanzania kinyume na mkataba.

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa.
 

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,635
2,000
Wakenya nawafahamu vzr sana matatizo yao ya ubaguzi

Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila.

Makampuni yao mengi yaliingia Tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
 

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,045
2,000
Tatizo la Kenya ni wivu na kujifanya wanajuwa kila kitu kumbe wapumbavu wanatawaliwa kifamilia na kikabila. makampuni yao mengi yaliingia tanzania kinyemela kufanya biashara, mashule, mabank asikomee KQ pekee.
Hapo ndo namkubaligi Magufuli. Hawa Wakenya wapuuzi sana. Wanadhani Tanzania ya sasa ni ile ya Mzee Mwinyi. Wakae wakijua wakimwaga ugali saa tatu asubuhi sisi huku saa tatu na dakika tano tunamwaga mboga na meza tunavunja kila mtu alale njaa.

Wajinga sana na ikiwezekana hivi vigari vyao vinavyobeba vitunguu na mahindi vipigwe pini hukohuko mpakani. Kwani stail yetu ya kuishi na corona kishkaji inawaumiza nini? Sisi tumeimudu wao waendelee kuhesabiana wagonjwa tu.
 

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,045
2,000
Ni kwel lakin wanapeleka vitu vyao kisomi sio kama sisi wasomi wameweka akil zao kwenye vyet wanasifia ili wanufaishe matumbo yao na sio ya wanachi wanaowatumikia.
Hilo ndo tatizo la wasomi wetu. Lakini ujuaji wa Wakenya ni kuona wao ni bora kuliko mataifa mengine ya EA. Hilo ndo linafanya waanze kutikisa njiti za viberiti vya wenzao kila siku. Wakae kwakutulia.

Wao wanahesabu wenye corona kila siku. Imewasaidia nini? Sana sana wanatia hofu watu wao. Na hakuna ugonjwa mbaya kama hofu. Hofu inaua hata kuliko hiyo corona.
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,381
2,000
Hahaha Magufuli huwa mnamnanga lkn linapokuja swala la kazi na utendaji ninyi wenyewe ndani ya nafsi zenu mnajua kabisa kwamba ndiye pekee anayeweza kutenda na kutekeleza kwa vitendo kupigania maslahi ya Tanzania yetu, hao wengine ni wasanii tu, ...

Chagua Magufuli kwa Afya na Ustawi wa Taifa letu, Magu tena 2020/35!
 

Loki

Senior Member
Feb 12, 2019
144
250
Mkuu sema "Mimi" usiseme "sisi" kama ujinga na kuburuzwa ni wewe peke ako na vibaraka wengine!
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
 

edwardbm

Senior Member
Nov 3, 2016
133
250
"SiSI" kwa sababu watanzania wote ni waoga. Haiwezekan katiba mara kibao inavurugwa na sisi wananchi tumekaa tu kimya. Kenya huo upuuz haupo. Sisi hadi mahakama inaingiliwa lakin tupo kimya kama mtungi wa maji. Mtu mmoja anaongoza nchi kama familia yake tupo tuu. Alaf unataka niseme ni mm na sio sisi.
Ila ukiangalia kwenye hayo maswala wanasumbuanza zaidi wanasiasa aambao woote no wasanii tu.

Tanzaniq as well as Kenya Kun awenye uelewa na Kuna wajinga kila nchi ipo hivyo.

Shida Tanzania baadhi hawajiamini. Sisi tupo vizuri. Tena yawezekana Sana tu zaidi ya Kenya.

Kweli Kenya Kuna baadhi ya mambo wako mbele na nikutokana shida walizo nazo zinawafanya wafikirie Sana. Watangulie.

Ndio maana wanatamani tuendelee kulala.

Wanajua ukimwamsha Alie lala,. . .

Sasa tumeamua kuanza kuamka wenyewe.

Waisome
 

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
6,742
2,000
Magufuli please upitie upya mkataba wa KQ na Tanzania...
Wakati wa JK .. waziri Samuel Sitta aligundua huo mkataba Una matatizo mengi ikiwemo KQ kuzidisha namba ya safari za kuja Tz kinyume na mkataba..

Naomba Rais Magufuli aupitie mkataba upya...ili twende sawa..
Nadhani badala ya kuhangaika na wakenya,tungeelekeza nguvu zetu kuaddress ujinga unaowakabili watanzania ili waweze kucompete,haya mengine we are just wasting our time
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom