Ukifuatilia hotuba za JPM kiukweli hazina mpangilio na zinakosa mvuto kabisa.
Nime- miss rais anayetoa hotuba zenye hadhi na uzito wa urais. Siku hizi sioni tena watu wakipapatika kumsikiliza rais. Badala yake watu wamekuwa wakiulizana "kuna boko gani limetolewa leo?" Hii ndiyo kusema kuna kasoro nyingi kwenye hotuba kuliko mambo muhimu.
Hotuba zake zinakosa sifa ya kumfanya JPM kuwa kiunganisha na mpatanishi wa taifa, maana hotuba zake zimejaa utatanishi na zinapaisha shari, chuki na mgawanyiko.
2020 hatuhitaji rais anaye hangaika kupambana na sauti za wakosoaji wake wa ndani na nje ya chama chake, au hata zile za nje ya nchi yake.
2020 say no to hatred in the ballot box