RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na kutoa maneno ya vitisho.
Kiongozi huyo wa nchi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020, katika maadhimisho ya miaka 13 ya moto kwenye Mkutano Mkuu wa Kanisa la Assembly of God (TAG)...
Salaam Wakuu.
Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania.
Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti...
Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza.
=======
10:20 AM: Kwa...
Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu;
1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya. Watanzania hatukuwahi kuona wenzetu wakiuawa kama kuku. Hawa watu walikosa nini mpaka kuondolewa haki yao ya...
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.
Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku
Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka...
Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote.
Imefikia...
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni...
Najaribu kuwaza Kama tokea 2015 Rais Magufuli angeruhusu shughuli za kisiasa kuendelea Kama ilivyokuwa kipindi Cha nyuma, na hivyo Wapinzani kupata fursa ya kufanya mikutano ya kisiasa Mara kwa Mara ili kuwaambia wananchi juu ya madudu ambayo yamefanyika ndani ya miaka 5, Basi uchaguzi wa mwaka...
Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
Ndugu zangu,
Kuna baadhi ya kikundi wanalazimisha kwa kufanya propaganda kuwa Tundu Lissu ni sawa na Raisi Magufuli, wanaenda mbali kwa kutaka ''mdahalo'', sijui nini na nini. Tuweke taarifa sawa, Tundu Lissu sifa zake ni hizi;
Anagombea urais kutafuta ruzuku ya chadema ili angalau baada ya...
Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametoa changamoto kwa CCM na wadau wengine wa siasa kuwezesha mdahalo baina yake na mgombea urais kwa tiketi ya CCM, mheshimiwa Rais John Magufuli.
Wadadisi wengi wa kisiasa wanasema katu na kamwe hilo jambo halitaweza kutokea hapa nchini katika...
Kitendo cha kuhamaki, kutishika na kumuogopa Lissu kiasi cha kuamuru vyombo vya habari visirushe habari zake kinazidi kumpa mileage ya umaarufu na ushawishi.
Kitendo hiki:-
1. Kinajenga hamu kwa wananchi kutaka kumsikiliza Lisu.
2. Kinajenga hasira kwa wananchi wengi hata waliomo ccm.
3...
Sina haja ya kusubiri kampeni zianze ili nishawishike. Sina haja ya kuuficha ukweli huu. Mwaka 2015, nilimsambaratisha Lowassa na kumpigia kura mgombea wa CCM yangu Dr.John P. Magufuli. Baada ya miaka yake mitano madarakani, nimekata shauri kuwa SITAMPIGIA KURA. Kupiga au kutopiga kura kwa...
Huu ni wito kwa Wafanyabiashara na Wadau wote wa Sekta Binafsi. Tafadhali sana ili maisha yenu yarejee kwenye kukuza na kuimarisha biashara zenu muondoeni huyu mtu kwenye sanduku la kura.
Mpigeni za uso ili mumkumbushe kwamba serikali iliyostaraabika duniani kote haimiliki njia za uchumi na pia...
Wana jamiiforum leo nimeona nitoe tathmini yangu ya Rais Magufuli na kipindi chake cha kwanza cha uongozi. Najua wengine mtachukizwa na haya ninayoyaandika lakini nimeona ni muhimu kutoa maoni yangu.
Mpaka sasa kwa watu waliosoma maoni yangu watagundua kwamba nilikuwa nikimsifia Rais wetu pale...
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini?
Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC...
Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama.
Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari.
Ni kweli kuwa kwa muda wa...
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-
Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.