mafao

  1. R

    PSSSF na mifuko ya hifadhi ya jamii wekeni "Digital formula" mstaafu aweke namba ajue kiasi cha mafao yake

    Wekeni digital formula mstaafu aweze kukokotoa mwenyewe, aweke namba ajue mafao yake ni kiasi gani. Najua ipo ila hamtaki kuiweka ili muwapunje wastaafu (hii manual formula wazee hawaiwezi). Mbona TRA na benki kwenye mikopo formula hizo zipo? Acheni wizi/ubabaishaji.
  2. PreGE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  3. Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
  4. M

    Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  5. D

    Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  6. Sheria ya Mafao ya wenza wa viongozi wakuu: Usultani unapiga hodi!?

    Mwananchi huyu kaeleza yote. Kati ya sheria za kuchekesha na kuudhi kwa pamoja kwa mlipa kodi, ni hii sheria iliyopitishwa na Bunge wiki hii. Ati nao WENZA wa viongozi wakuu , nao wapewe mafungu ya pesa zilizokusanywa kama kodi kutoka kwa walalahoi. Sasa mwenza naye ameshakuwa kiongozi...
  7. Tunafuta Bima kwa mtoto tunaenda kumlipa Mafao mwenza wa kiongozi!

    TUNAFUTA BIMA KWA MTOTO TUNAENDA KUMLIPA MAFAO MWENZA WA KIONGOZI. Na Thadei Ole Mushi 1. Hili la kulipa mafao wenza wa Viongozi linatafakarisha. Cha muhimu sana wasiwasahau wenza wa wanajeshi wetu ambao hulala mipikani kulilinda taifa, madaktari na wauguzi wanaolala mahospitalini kuokoa roho...
  8. Bunge lapitisha Muswada unaotaka wake wa Marais na Maspika wastaafu kulipwa kiinua mgongo

    Bunge limepitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali namba 4 wa mwaka 2023 ambapo moja ya marekebisho katika sheria ya Mafao ya Kustaafu katika Utumishi wa kisiasa inapendekezwa Wenza (Mke/Mume) wa Marais Wastaafu, Wenza wa Makamu wa Rais Wastaafu na Wenza wa Mawaziri Wakuu...
  9. Wizara ya Fedha: Tunafuatilia wanaofanya utapeli kwa Wastaafu wanaofuatilia mafao

    Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha linalofanyika katika Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, linaendelea katika siku ya pili na ya mwisho Jumanne Oktoba 24, 2023. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja amefungua majadiliano kwa kushukuru jinsi Mitandao ya...
  10. Nchi ya ajabu: Tunafuta bima ya afya ya watoto tunapitisha wake za vigogo walipwe posho

    Hii nchi ya ajabu sana, tupo tayari kuhakikisha vigogo na matajiri wanalindwa kwa namna yoyote huku tukigandamiza familia maskini ziendelee kurudi chini. Wakati tunahaha namna gani watoto wapate matibabu bure bunge letu linapitisha kulipa wake za vigogo mafao ambayo ni mamilioni ya pesa!! Kuna...
  11. Kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa kwa sheria za kawaida ni ukiukwaji wa katiba ya nchi hii

    Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia. La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
  12. A

    SoC03 Wastaafu kuchelewa kupata mafao

    Kumekuwa na Malalamiko ya Wastaafu kutokupata Mafao yao kwa wakati huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni Waajiri wanachelewa kuwasilisha michango Kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na kusababisha kuchelewa kwa uchakataji Mafao ya wastaafu. Licha ya kuwepo kwa sheria zinazotetea haki zao ikiwemo...
  13. P

    Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  14. Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  15. P

    Ndoa zetu na mifuko ya Hifadhi ya Jamii iwekwe wazi. Wanachama wanahangaika kupata mafao yao

    Habari zenu wana JamiiForums na Taifa kwa ujumla. Kuna mambo kama nchi ni lazima yawekwe wazi kwa manufaa na ustawi wa wananchi. Moja ya mambo hayo ni hili la mafao kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Binafsi nafurahishwa sana na mpango huo ila natatizwa pale ninapoona wanachama...
  16. Wastaafu Waliostaafu January 2023 ambao wameshalipwa mafao/ kiinua mgongo chao tukutane hapa

    Kuna utata kuhusu ulipwaji wa mafao ya kustaafu. Tunaomba waliolipwa mafao yao mwaka 2023 tukutane hapa.
  17. B

    Kwanini kuwe na kikokotoo Cha mafao ya wastaafu

    Mi nashauri vikokotoo vyote vifutwe, mtu akistaafu apewe hela yake yote. Nawasilisha
  18. Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  19. Z

    Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu. Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo? Shukrani.
  20. Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…