Habari rafiki, karibu tena katika wasaa mzuri kwenye mtandao huu wa Falsafa za Mafanikio. Leo tunaenda kujifunza mtu muhimu katika mafanikio kati ya rafiki na adui. Bila shaka umeshaanza kupata picha na una majibu tayari kichwani kwako lakini naomba uungane nami ili nipate kukushirikisha kitu...
Hapo vipi?
Ni utafiti ambao nimefanya muda mrefu sana...watu wengi ambao hawaja soma alafu wakapata mafanikio kidogo huwa hubikwa na dharau pamoja na kiburi.
Hii nitofaauti na watu ambao wamesoma alafu wakawa na mafanikio kama wakina Bill Gate na Marehemu Reginald Memgi.
Kulikuwa na majamaa...
Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni...
Falsafa ya biashara ni nini?
Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
Habari nyote.
Kama maelezo yasemavyo hapo juu naomba kufahamu kampuni za kusafirisha mizigo kwa ndege kutoka China kwa bei nafuu. Nimekuwa nikitumia Unique aircargo lakini kiukweli mizigo inatumia muda mrefu kufika.
Hivyo naomba uzoefu wenu wadau wa jukwaa hili la biashara kuweza kupata njia...
Tedros Adhanom Ghebreyesus
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema kuna kazi kubwa inayohitajika kupambana na janga la virusi vya corona licha ya kuwepo na habari nzuri wiki hii kuhusiana na mafanikio ya majaribio ya chanjo.
Akizungumza kutoka Geneva...
“Miaka mitano ijayo utakuwa sawa na ulivyo leo, isipokuwa kwa watu utakaokutana nao na vitabu utakavyosoma.” ― Charlie Tremendous Jones
Rafiki yangu mpendwa,
Leo tarehe 28/10/2020 ni siku ya kipekee kwenye maisha ya kila Mtanzania, kwani tunapata nafasi ya kwenda kushiriki kuamua ni watu gani...
Tatizo la Rushwa: Serikali ya Awamu ya 4 ndo iliona tatizo hilo ndo maana akiwa Mwenyekiti wa CCM akataka jambo hilo liingizwe kwenye Ilani ya CCM na kumkabidhi Magufuli, kwa hiyo kazi ya kupambana na Rushwa aliianza yeye
Elimu bure: Mwishoni Mwa Utawala Wake kulikuwa na Mjadala Mkali...
Mara nyingi kauli hizi hutoka kwa wazazi, ndugu, n.k wa muhusika ambaye mara nyingi huwa ni kijana ambaye kachoka kiuchum na mbaya zaidi kahitimu chuo maana wengi wanaomwambia hivi hudhani chuo ji muhuri wa mafanikio.
Unakuta mtoto wa jirani kaja na gari kusalimia wazazi wake basi majirani...
Nimecopy na kuileta humu
Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.
Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki
Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite...
Mwaka 2015 aliyekuwa Waziri wa Ujenzi , ambaye leo ni Rais wa Tanzania ndugu Magufuli, alitoa waraka wa mafanikio ya ya serikali ya awamu ya Nne ya ndugu Jakaya Kikwete, katika mafanikio hayo aliorodhesha mamiradi mengi mengi tu yaliyofanywa na serikali ya Mzee Kikwete.
Sasa najiuliza kama...
Miaka 40 baada ya kuanzishwa kama eneo maalum la kwanza la Ukanda wa Kiuchumi nchini China, Shenzhen imeibuka na kuwa alama ya mageuzi na ufunguaji mlango wa China. Mji huo umebadilika kutoka kijiji cha uvuvi na kuwa mji mkubwa wa viwanda na fedha.
Utafiti uliofanywa na Program ya Makazi ya...
Ni uchaguzi rahisi kwa CCM, uchaguzi mwepesi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ni uchaguzi wa mafanikio ya CCM dhidi ya ahadi za Wapinzani.
CCM inakwenda ktk uchaguzi huu kuonesha mafanikio iliyoyafanya kwa miaka mitano iliyopita (ambayo kimsingi ni mengi) wakati wapinzani wanakwenda...
Nimeona vipeperushi vinaelezea mafanikio ya awamu ya tano. Vipeperushi hivi vinakuja baada ya joto la uchaguzi kuwa kali na kuonekana ngoma si kama tulivyoivalia kibwebwe.
Ushauri: CCM achaneni na mliyofanya, jikiteni kuwaeleza wananchi mtakayofanya. TBC kwa miaka mitano imekuwa inatueleza...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na Kampeni katika mkoa wa Geita mabapo mbali na kuomba kura ameeleza mafanikio kadhaa yaliyopatikana katika mkoa huo huku akisisitiza katika kuleta maendeleo zaidi katika mkoa huo, haya ni baadhi ya aliyoyazungumza...
Mimi Idugunde huwa sipendi unafiki hata kidogo. Ni kweli CCM imefanya makubwa kipindi hili cha awamu ya kwanza ya uongozi wa JPM.
Lakini kuna kasoro moja kubwa sana imejitokeza kwenye utawala wa huu. Maana kila anapofanya ziara zake Rais Magufuli huwa anakutana na watu ambao wana kero ambazo...
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
Na Baraka Mina.
Waingereza wanasema “Seeing is believing” yaani “kuona ni kuamini”. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari John Pombe Joseph Magufuli siku ya leo (03/09/2020) majira ya tano asubuhi kwenda saa sita mchana atakuwa...
Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama.
Hakuna uhuru wa maoni
Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
Hakuna mijadala ya hoja kwenye media
Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja
Rais amekuwa mfalme
Deni...
Na: Beatrice Condrad
Kauli mbiu ya Chama Cha Mapinduzi 2020 ni: TUMETEKELEZA KWA KISHINDO, TUNASONGA MBELE PAMOJA.
Kwanza kabisa napenda kutoa UTANGULIZI wa Ilani yetu ya Uchaguzi 2020 kama ifuatavyo;
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi wa vyama vya TANU na ASP na baadaye CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.