Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )

torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
788
1,308
Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama.
  • Hakuna uhuru wa maoni
  • Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
  • Hakuna mijadala ya hoja kwenye media
  • Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja
  • Rais amekuwa mfalme
  • Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
  • Mazingira magumu ya kazi
  • Kandamizaji wa democrasia
  • Elimu mbovu
  • Ajira hakuna
  • Fedha inashuka thamani
  • Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
  • Ajira hakuna
  • Ukandamizaji wa haki za binadamu
  • Kesi lukuki za kumbambikiwa
  • Sheria kandamizi
  • Dola imekuwa sehemu ya chama
  • Masikini umeongezeka
  • Viwanda lukuki vimekufa
  • Bunge sio live tena hatuoni wawakilishi wetu wakitusemea matatizo yetu
  • Media kuwa sehemu ya watawala
  • Maisha magumu
  • Uongozi kuwa ndio ajira
  • Hoja kujibiwa kwa rungu
  • Wapinzani kukandamizwa
  • Kufungiwa mikutano ya kisiasa
  • Dini kutumika kisiasa
  • Ushamiri wa propaganda
  • Ubaguzi wa kisiasa na kiitikadi
  • Rushwa imewalemea PCCB
  • Mishahara kutoongezeka na madaraja kutopandishwa
  • Bunge halina heshima na halisikilizwi
  • Kulazimisha upendo kwenye vyama
  • Vitu kupanda bei
  • Hakuna mpango wa kuongeza wigo wa biashara kwa taifa
  • Kodi kutumika kwa matakwa binafsi
  • Hakuna miiko ya uongozi
  • Miundominu mibovu subiri mvua zinyeeshe
  • Mafao ya wazee tabu tupu
  • Kuna kikundi kinaitwa wasiojulikana
  • Kutopewa dhamana kwa kosa
  • Uchumi kudorora
  • Mzunguko mdogo wa sarafu
  • Katiba si kitu tena japo inamapungufu lukuki
  • Wakulima wanalia
  • Watekaji nyara
  • Uvamizi wa viongozi ns hakuna hatua madhubuti
  • Kuamuliwa viongoziUkweli ni dhambi kuu
  • Kukosoa serikali ni kosa la jinai
  • Maiti kuchukua hospitali hela kibao
  • Mzazi kujifungua kwa operation hela kibao
  • Ushirika mbovu na mataifa ya nje
  • Uhusiano na majirani unazorota
  • Kodi kubwa
  • Taasisi za serikali mkanganyiko mf. NIDA
  • Kupata passport au leseni shughuli
  • Dawa chache
  • Ukimaliza chuo ni kujiajiri hata bodaboda
  • Haki imekuwa kama punje ya mchanga ndani ya gunia la chumvi
Ungezea mengine

Tunaelekea kuwa Korea kaskazini,tanganyika ya nyerere tunaitaka tumechoka kwa kweli.

credit to REALITY
 
Back
Top Bottom