MY TAKE
Naona akiiga hata kutembelea na national carrier KQ kama Samia Suluhu na Air Tanzania!
Here is what Kenyan ambassador to DRC explaining Uhuru's mission inb DRC
Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake...
Imeelezwa kuwa mafanikio yaliyopatikana ya hivi karibuni dhidi ya corona covid 19 iliyoitesa dunia kwa zaidi ya mwaka yanweza yote kupotea.
Sababu ya kwanza ni kutokana na watu wengi kulegeza tahadhari dhini ya ugonjwa huo na sababu ya pili ni kutokana na kuwa kile kirusi cha awali...
Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni!
Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi.
Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio...
Utatafuta kila namna ila huu utabaki kuwa uhalisia.
Wengi wanajua stori za mnara wa babeli. Ni mnara unaodhihirisha nguvu ya ushirikiano. Mungu aliona kutokana na ushirikiano uliokuwepo wale watu walikuwa wanaenda kufanikiwa akaamua kuwavuruga lugha.
Ushirikiano ndio mafanikio ndio maana ni...
Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.
Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada.
Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa...
Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo ambazo mlizibuni na maeneo mlikofanyia hizo shughuli zenu hadi mkafikia hatua ya mafanikio mliyo nayo...
Manchester City imeweka rekodi ya kuwa timu kubwa kutoka England ambayo imeshinda mechi nyingi mfululizo. Ikiwa imeshinda mechi 15 , huku ikifunga magoli 40, na kuruhusu magoli 5, ikiwa na clean sheets 10 chini ya Pep Guardiola.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona na Bayern Munich amefikia...
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu.
Nikaja kujua kwamba mzee alikuwa anahofia sana mtoto wake anaweza kutekwa na maisha ya kuajiriwa na kuacha kabisa biashara...
Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake.
Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma.
Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa.
Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
Wakuu kwema? Poleni na mihangaiko ya maisha pamoja na Ups and Down za January.
Mada ya uzi wangu ni kama kichwa kinavyojieleza juu. Kwa wafuatiliaji wazuri wa JF na mitandao mingine duniani kwenye habari za Technology kumekuwepo na wimbi kubwa la watu wakisema wanatengeneza pesa nzuri kwa Ads...
For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region will probably tumble.
The same case can also be said in countries like South Africa, Ghana, Ivory...
Kama Wapinzani wa Afrika Mashariki ni vema chama kikuu cha upinzani Chadema na washirika wake ACT wazalendo nk ni vema wakampongeza mgombea urais wa Uganda Bobi Wine kwa mafanikio aliyoyapata kwenye uchaguzi mkuu.
Hadi sasa Bobi Wine amepata 34% ya kura zilizohesabiwa dhidi ya 58% ya Yoweri...
Najua una shauku ya kuwa MJASIRIAMALI mwenye mafakio. Lakini je, unazo sifa za kukuwezesha kufanikiwa kama MJASIRIAMALI?
Baadhi ya sifa zinazo mwezesha MJASIRIAMALI kupata mafanikio ni kama zifuatazo:-
1: Mawazo ya kiubunifu (Creative Thinking). MJASIRIAMALI huwaza kiubunifu ni jinsi gani...
Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
KIGEZO #1: MAHITAJI YA NJIA YA FOLENI
Ukisikiliza swaga za watu wa njia ya foleni ni kama hizi; “Nikasomee kitu gani, kitakachonifanya nipate mshahara mkubwa?”, “Hivi ni kampuni gani nikaajiriwe, inayolipa vizuri kuliko nyingine?”, “Nikiajiriwa serikalini itakuwa poa sana, Nitakuwa na uhakika wa...
Unafikiri ninapozungumzia habari za kuondoka kwenye njia ya foleni na kuhamia mwendokasi ninazungumzia ubinafsi wako na kupenda sifa kwako? Eti umesoma, una cheo, mtaa mzima wanakujua, kampuni yote wewe ndo wewe, na una vyeti kama vyote! Ninazungumzia habari za watoto wako na mamilioni ya kizazi...
NJIA YA FOLENI (POLE POLE NDIYO MWENDO)
Njia ya foleni ni njia ya wazee wa “polepole ndiyo mwendo”, wao huamini kuwa ili kuelekea mafanikio au umilionea inakulazimu kuwa na mvumilivu sana na mwenye subira. Watu hawa wana maarifa na wengi wao wamesoma sana, kiasi kwamba wanashindwa kujichunguza...
Njia ya watembea kwa mguu kuielekea safari ya mafanikio na ukwasi
Watembea kwa mguu watachukua muda mrefu sana kufika mwisho wa safari yao. Umbali kati ya Mwanza mpaka Dar ni kilometa karibu 853. Kwa umbali huu, mwenda kwa miguu anaweza kutumia zaidi ya masaa 420, sawa na siku 17; yaani hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.