mafanikio

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mikutano na makongamano ni pamoja na Wajumbe kuvaa sare nzuri, CCM jifunzeni kwa CHADEMA

    Huu ni ushauri tu ambai unaweza kupokelewa au kukataliwa. Inawezekana kabisa kuwa CCM hawamind mambi ya kupamba kumbi zai za mikutano, basi wazingatie hata unadhifu wanapovaa sare zao mikutanoni na kwenye makongamano. Unamkuta mwanaccm amevaa sare iliyochanika au yenye viraka hii si sawa kwa...
  2. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuunga mkono katika harakati zako tegemea mafanikio makubwa

    Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela. Inapendeza sana...
  3. J

    JamiiForums Tanzania 2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  4. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa 2020, achana na malengo na kazana na kitu hiki kimoja

    Huu ni ule wakati wa mwaka ambapo kuna kelele nyingi sana kuhusu malengo. Watu wanaulizana mwaka umeisha na umefanya nini na wengine wanahamasishana kuanza kuweka malengo ya mwaka mpya mapema. Nasema hizi ni kelele kwa sababu karibu kila mtu huwa anajiwekea malengo mwanzoni mwa mwaka. Kila mtu...
  5. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mafanikio katika Maisha-Kila unachokiogopa sana ndio kitakachotokea

    Habari za wakati huu; Leo natoka nizungumzie hofu na nafasi yake katika mafanikio.Sitaki kueleza maana ya mafanikio ingawa najua kabisa kwa wengi wetu kuna picha zinakuja kwenye akili zetu ambazo ndio maana ya mafanikio kwetu ila napenda zaidi kuacha hilo eneo ubaki na tafsiri yako hio...
  7. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Wafu hawana simulizi: Jinsi hadithi za waliofanikiwa zinavyoweza kukupotosha na kukupoteza

    Rafiki yangu mpendwa, Hadithi za watu waliofanikiwa huwa zinatupa hamasa kubwa sana kwamba hata sisi pia tunaweza kufanikiwa. Huwa zinatupa ile hali kwamba kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini. Hivyo waandishi na wahamasishaji wamekuwa wakizitumia hadithi hizi kwenye habari...
  8. scatter

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019 unaisha tiririka mafanikio yako ya kufanya Forex

    Wakuu biashara ya Forex kwa Tanzania imeshamiri sana kwa kipindi cha miaka miwili au mitatu iliyopita. Wengi wameingia katika biashara hii lakini baadhi waliamua kuendelea nayo na wengine wameamua kuachana nayo. Kwa mwaka huu baada ya kufanya biashara hii nimefanikiwa kupata pesa na kuwekeza...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

    Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani ==== Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki amefariki dunia leo Enzi za uhai wake Mufuruki aliwahi kuwa Mkurugenzi Huru, Mwenyekiti wa Bodi...
  10. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya kusimamia uchumi wako na mafanikio

    Watu wengi wanaishi bila kuwa na mipango,mambo yao wanapeleka mambo kwa kufuata mkumbo na bora liende hiyo ni hatari kubwa,mafanikio hayaji kama ajali yanatengenezwa na jitihada,umakini,ustahimilivu na imani,vivyo hivyo kwa upande wa mafanikio ya kiuchumi. Sheria na kanuni zake ni zile zile...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Magufuli: Changamoto sugu zimebaki historia, kila pembe ya nchi inashangilia mafanikio yake

    Mzee Mwinyi aliwahi kusema “haya yanayofanywa na JPM hatukuweza kufanya kwa miaka 30”. Ni kauli ya moyoni mwake na hakika ni kauli isiyoweza kubezwa na yeyote kwa sababu zifuatazo: ya kwanza, Mzee Mwinyi aliwahi kuwa Rais, kauli hiyo ameitoa baada ya kuupima urais wake na huu wa JPM na kuona...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya tril. 58.3/- miaka minne ya Rais Magufuli

    MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) katika kipindi cha miaka minne imeongeza mapato yake na kufikia Sh. trilioni 58.3 Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo, aliyasema hayo jana wakati akizungumzia mafanikio ya miaka minne tangu Rais John Magufuli aingie madarakani, na kueleza kuwa katika...
  13. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Acha kuigaiga na kuhangaika, fanya hicho hicho unachofanya ipo siku moja utaona mafanikio yake

    Humu kwenye mamitandao na maisha kwa ujumla kuna makundi mawili ya watu ambao hawa wasipo badilika na uhakika watasugua sana benchi kusubiri mafanikio yawafikie na hata yakiwafikia hayatakua yale waliyo yastahili. Unajua tangu tukiwa shuleni wazazi walikua wanatuambia jambo moja zuri ambalo si...
  14. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya waumini kwenye baadhi ya makanisa ya kilokole

    Unaweza ukaingia Kanisani ukawaona waumini karibu wote wapo vizuri kiuchumi na ukafikiri hali hiyo haijaandaliwa "ni miujiza"ila kiuhalisia ni mchakato kabambe uliusukwa na kusukika na ukajengewa mazingira ya kuwa endelevu. Kinachofanyika ni Mchungaji kuandaa mtandao wa kuwainua watu wake...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Siri ya mafanikio ya ndoa au uhusiano,Wakaka mkifanya haya mtauona ufalme wa mbinguni

    Ufalme wa mbinguni click the video pleaeeeese
  16. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Elimu: Baadhi ya mambo yenye nafasi kubwa ya kukuletea mafanikio

    Amani iwe kwenu wana jukwaa. Katika mwendelezo wa kuelimishana masuala mbali mbali ambayo kwa njia moja au nyingine yatachangia kuboresha zaidi maisha na maendeleo yetu, leo tumeona tuzungumzie kidogo kuhusu ni mambo gani ya msingi ambayo sisi kama wanadamu tunatakiwa kuyaishi ili mafanikio...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuna Mkoa haujapata mafanikio ya Magufuli?

    Hili ni swali kwa wawakilishi wa wananchi na wananchi ili tuende sawa. 1. Kuna mkoa haujajengewa hospitali au kituo cha afya? 2. Kuna mkoa hauna mradi wa maji? 3. Kuna mkoa hauna mradi wa barabara? 4. Kuna mkoa hauna mradi wa umeme vijijini? 5. Kuna mkoa haujapata mradi wa ujenzi wa shule...
  18. Nazi Nakaranga

    JamiiForums Tanzania TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  19. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga tuna la kujivunza kutokana na mafanikio ya timu ya Simba

    Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Simba jana dhidi ya Vita Club umewapeleka robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika. Hakika wanastahili pongezi kwa mafanikio hayo Watani zetu wametufundisha jambo kubwa sana, ili kuweza kufanikiwa tunahitaji uwekezaji wa fedha, akili, muda...
  20. JacobMushi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jacob Mushi

    Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa. Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
Back
Top Bottom