mafanikio

  1. Wakala

    JamiiForums Tanzania GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

    Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana. Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio. Ngoja niende pale ofisi za CCM central...
  3. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumpiga au kupigwa na mpinzani wako kibiashara? Mbinu gani zilitumika?

    Kuanzia Azam Dhidi ya Azania, Mwana FA & AY Dhidi ya MIC Tanzania (Tigo), FIESTA Dhidi ya Wasafi Festival, Simba Dhidi ya Yanga, Adidas Dhidi ya Nike, Facebook Dhidi ya Snapchat, Pepsi Dhidi ya Cocacola, Uber Dhidi ya Lyft mpaka wewe dhidi ya mpinzani wako... biashara ni vita. Kinachopiganiwa...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Kiza Hussein Mayeye: Nikishukuru sana chama changu cha CUF kwa kuniamini na kunipa nafasi

    Kwanza kabisa nianze Kumshukuru mwenyezi mungu kwa afya njema na kunisimamia katika kipindi changu chote nikiwa kama mbunge. mimi kwa majina naitwa Kiza Hussein Mayeye ,nimzaliwa wa Kigoma katika kijiji cha mwandiga.elimu yangu ya msingi niliipata katika shule ya msingi mwandiga ambapo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

    Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Habari wadau.. Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba? Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ? Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza... Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

    Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
  9. Mtambuzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kwanza ningependa kukupongeza kwa juhudi zako za kutaka kuliboresha jiji letu hili la Dar. Nimekuwa nikifuatilia juhudi zako tangu ulipokuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni. Naamini jitihada zako za kutaka kuboresha wilaya ya Kinondoni ndizo zilizomfanya Raisi akuongezee majukumu kutokana na kuona...
  10. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

    Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
  11. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sauti za wananchi juu ya juhudi za awamu ya tano mafanikio na changamoto

    Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo. Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

    Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti . Sasa...
  14. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Embu tujuzane mafanikio yakoje au muitikio ukoje wa utelekezaji wa rai ya kufyatua watoto?

    Habari wana JF Mwenye Enzi Mungu aliagize nendeni mkaijaze dunia. Muheshimiwa Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli naye alitoa rai kwa wananchi wa Tanzania wafyatue watoto. Huu ni mwaka mpya, mimi tayari nimefyatua kamoja mwaka jana na nina mpango wa kufyatua kingine mwaka huu, sasa sijui wewe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mikutano na makongamano ni pamoja na Wajumbe kuvaa sare nzuri, CCM jifunzeni kwa CHADEMA

    Huu ni ushauri tu ambai unaweza kupokelewa au kukataliwa. Inawezekana kabisa kuwa CCM hawamind mambi ya kupamba kumbi zai za mikutano, basi wazingatie hata unadhifu wanapovaa sare zao mikutanoni na kwenye makongamano. Unamkuta mwanaccm amevaa sare iliyochanika au yenye viraka hii si sawa kwa...
  16. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuunga mkono katika harakati zako tegemea mafanikio makubwa

    Nelson mandela wakati alipokuwa gerezani akitumikia adhabu yake Winnie Mandela alipambana nje kuhakikisha harakati za mume wake anaendeleza ingawa mwanzoni hakupenda kama ilivyo kawaida kwa wanawake wengi akihofia kuuawa kama wengine lakini hofu ilipoisha alimtia moyo Mandela. Inapendeza sana...
  17. J

    JamiiForums Tanzania 2019 umekuwa mwaka mgumu kwa CHADEMA lakini wenye mafanikio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Kiukweli mwaka 2019 unaoelekea ukingoni umekuwa mgumu sana kwa Chadema ambayo ilikimbiwa na wabunge wake wengi. Kadhalika ni mwaka ambao Chadema ilimpoteza mwanachama wake maarufu kuliko wote mzee Lowassa aliyehamia CCM. Pia mzee Sumaye na mzee Mgeja na kundi kubwa la madiwani waliamua kuachana...
  18. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa 2020, achana na malengo na kazana na kitu hiki kimoja

    Huu ni ule wakati wa mwaka ambapo kuna kelele nyingi sana kuhusu malengo. Watu wanaulizana mwaka umeisha na umefanya nini na wengine wanahamasishana kuanza kuweka malengo ya mwaka mpya mapema. Nasema hizi ni kelele kwa sababu karibu kila mtu huwa anajiwekea malengo mwanzoni mwa mwaka. Kila mtu...
  19. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  20. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mafanikio katika Maisha-Kila unachokiogopa sana ndio kitakachotokea

    Habari za wakati huu; Leo natoka nizungumzie hofu na nafasi yake katika mafanikio.Sitaki kueleza maana ya mafanikio ingawa najua kabisa kwa wengi wetu kuna picha zinakuja kwenye akili zetu ambazo ndio maana ya mafanikio kwetu ila napenda zaidi kuacha hilo eneo ubaki na tafsiri yako hio...
Back
Top Bottom