Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
347
546
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.

Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.

Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
 
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Ili uwe mtu alietoboa unatakiwa uwe na nini na nini? Kiasi gani cha fedha au mali?
 
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Kumbe.
 
Wapuuzi wa chuo kikuu ninao watatu nawatuma, na sina hiyo diploma wala uijnga gani. Na vigari vya m10 , 15 nabadirisha nitakavyo

Hajui kuwa hao wa chuo kikuu tunao huku mtaani, kazi hawana, omba omba nyingi.

Allah anampa amtakae haijalishi hajasoma ama laa,,,atakupa elimu kubwa lakini ukaangukia kuajiriwa au kukaa nyumbani, Ndivyo ilivyo.
 
Ukitaka kujua uhusiano angalia level yako ya maendeleo na elimu yako wewe kama wewe,usitolee mfano mtu mwingine!alaf urudi kuleta majibu
Mabilionea wengi wa Dunia wangekuwa Wanazuoni wa kiwango cha PHD ... kama hujafanya utafiti una haki ya kukaa kimya, hutashitakiwa kwa hilo
 
Back
Top Bottom