maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Ushindi wa kishindo ni kaburi la maendeleo Afrika

    USHINDI WA KISHINDO NI KABURI LA MAENDELEO AFRIKA Tumemaliza Uchaguzi. Walioshinda wamepata asilimia 84 (urais) na bunge asilimia 99. Huu ni ushindi wa kishindo au kishindo cha ushindi? Tukubaliane: Tuna watu wengi ni waaminifu kwa sababu hawana cha kuiba au wanaogopa kukamatwa. Serikali...
  2. Sijali

    JamiiForums Tanzania Maendeleo bila ya Haki na Sheria siyo maendeleo

    Habari Wanajamvi, Ili maendeleo yadumu, yaheshimiwe na yathaminiwe, ni lazima yaambatane na uadilifu, Sheria na Haki. Maendeleo yeyote yanayofikiwa kwa ukiukaji mkubwa wa haki za raia, ni rahisi sana kubomolewa, na mwenyewe aliyeyaleta kusahauliwa katika jaa la historia. Ipo mifano mingi...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wadau wetu wa maendeleo wa sasa hivi, wale wengine ni mabeberu

    Nchi ishakua pochi la wachina watu wanyonyaji wadhurumati mfano hai wafanyakazi wao wanawatumikisha viwandani na magodown mzee baba chukulia mfano tu hapo tangu tuwe na ujamaa nao hawa watu tumefaidika na nini nchi yetu hadi leo Tuache masihara anae fanya kazi kwa huyo mnaemuita beberu na...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini nchi za wazungu kila wanapotupa misaada tunawaita wahisani wetu wa maendeleo lakini pale wanapotukosoa tunawaita mabeberu?

    Kuna msamiati mpya umetungwa hususani na watawala wetu wa serikali ya awamu ya 5 kwa kuwaita nchi za wazingu kuwa ni mabeberu, pale wanapotoa "constructive criticism" yenye lengo la kututaka tujirekebishe ili nchi yetu ipate ufanisi wa hali ya juu. Hata hivyo ajabu ni kuwa wazungu hao hao...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhesh Kassimu Majaliwa Kassimu Atembelea Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Uhuru Inayojengwa Chamwino

    Hakuna muda wa kulala Hakuna muda wa kupoteza Serikali Ya CCM imeamua na haitaki kuwaangusha Watanzania Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa mamlaka husika ikiwemo SUMA JKT, Wakala wa Majengo ( TBA) na Halmashauri ya Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Hospitali hiyo Matumizi sahihi ya Rasilimali...
  6. Jelavic

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa Viongozi wa CCM kila linapotajwa kosa au tuhuma na nchi washirika wa maendeleo mnakimbilia kusema vita ya kiuchumi. Jibuni hoja kwa hoja

    Yan nashangaa sana leo balozi wa ubelgiji anasema habari zinazo sambaa sio za kweli, Ndio nakubaliana nae sio za kweli lkn kuhusu hoja iliyopelekea ile habari kutokea ni yakweli au sio ya kweli. Je, ni kweli mmebeba mapesa ya watu kwa jina la CORONA na hamjazitumia kwa lengo husika. Je, ni...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mzalendo: Prof. Mbwiliza, gwiji wa historia ya siasa amlilia Rawlings lakini ameshindwa kulilia demokraisia, haki na maendeleo ya Watanzania

    Ninajua wasifu wa Prof. Joseph Mbwiliza kwa kina. Ni Muha wa Kasulu huko Kigoma na ni mmoja wa maprofesa wa mwanzo kabisa wa kutoka maeneo ya ziwa Tanganyika. Mtoto wa mkulima aliyepata elimu yake huko Marekani. Alishika madaraka makubwa serikalini na kwenye siasa. Amewahi kuwa Mkuu wa Chuo cha...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania NEC yatangaza Uchaguzi mdogo kwenye Kata tatu

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imetangaza uchaguzi mdogo katika kata tatu za Nyahanga iliyopo mji wa Kahama mkoani Shinyanga, Igumbilo iliyopo Halmashauri ya manispaa ya Iringa mkoani Iringa na Kibosho kati ilipo halmashauri ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Kata husika zinafanya...
  9. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa vyama pinzani Afrika kutaleta maendeleo kwa haraka (ndani miaka 2 au 3) kama wananchi tunavyotarajia

    Mimi nadhani ifike wakati na kukubali kwamba sisi wa africa bado hatujui tunapo kwenda na tulipotoka siku zote hakuna mtu au familia ambayo itaendelea kuwa na mambo makubwa pasipo kuwa na umoja hasa kwa upande wangu nadhani:- Uwepo wa kitu kinacho itwa demokrasia na vyama vingi ilikuwa ni...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  11. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  13. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

    Kuna marafiki zangu wawili mtu na mpenzi wake, mwanaume anafanya kazi ya UDJ lakini mwanamke ni mtu na kazi zake nyingine tu, sasa majuzi hapa mwanaume akapata kazi Gongo la mboto kule ndani ndani kabisa kazi ya kwenda kupiga mziki, lakini anatakiwa afike asubuhi saa 1 aunganishe mziki na...
  14. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maana ya maendeleo ya nchi yaanzia kwa mtu mmoja mmoja

    Maendeleo ya nchi yanaanzia kwa mtu mmoja mmoja. Elimu, afya, dini, mila, ajira, mazingira anayoishi, na upatikanaji wa habari. Elimu ina beba mwongozo mzito katika haya mengine kwani elimu nzuri itamsaidia mtu kupata ajira nzuri, kuwa na uwelewa wa kutunza afya yake, kuboresha mazingira...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitasimamia maendeleo ya kiuchumi nchini "Prof. Lipumba" Lindi

    NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" Lindi Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila kuharibu mazingira, na ambao utakuwa na manufaa kwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

    Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu. Kuna mambo nimeona hapa wakiaminishana eti akiingia Tundu Lissu na CHADEMA kiujumla ndio watakuwa na maisha Bora hiv Nani...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa zaidi ya bilioni 110 kupambana na athari za COVID-19

    Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid. Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akishinda urais, mikopo na hasa misaada, itaongezeka kutoka kwa Wahisani wa Maendeleo

    Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili. Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
  20. James Martin

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini ina maendeleo ya vitu lakini watu hawana uhuru

    Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO maana yake ni maendeleo ya vyote! Kwa mfano, Korea ya Kaskazini wana majengo mazuri, miundombinu na...
Back
Top Bottom