maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa mjifunze kufanya kazi na wenye itikadi nyingine kwa lengo la kuleta maendeleo

    Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo. Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
  2. Kakati

    JamiiForums Tanzania Ili Tanzania kuwika kiuchumi Duniani, inategemea uongozi thabiti

    Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha. Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
  3. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu wamefaidi maendeleo haya. Tupaze sauti

    Nianze kwa kusema wazi kuwa maendeleo ya watu huwezi kuyatenganisha na maendeleo ya vitu kwa namna yeyote ile wazungu wanasema (the are interwovened) hivyo maendeleo yaliyofanyika kwa kuzingatia mahitaji ya watu na tumefaidi na tunapaswa kupaza sauti zetu dhidi ya wanaopotosha ni pamoja na: 1...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitasimamia maendeleo ya kiuchumi nchini

    NJOMBE- WANGING'OMBE Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila kuharibu mazingira na ambao utakuwa na manufaa kwa wananchi wote. Kukua kwa uchumi kunahitaji uongozi...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo

    Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo. Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii. Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii. Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

    Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa" Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  8. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Tumemsikia tena Tundu Lissu: Tishio la ubidhaishaji wa shughuli ndogo ndogo za mama lishe na machinga

    Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali vya siasa. Katika mnyukano huu, tafakari ya kina ya ilani hizi imethihirisha mnyukano wa itakadi kuu...
  9. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Je, kuna maendeleo ya watu na ya vitu?

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa vyama vya upinzani nchini hasa CHADEMA wakidai kuwa maendeleo yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Raisi Magufuli ni maendeleo ya vituna sio maendeleo ya watu. Hoja yao inajikita kwenye mambo kama ujenzi wa bwawa kubwa la umeme...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua maana ya uhuru, haki na maendeleo ya watu kwa watu wa Dodoma

    Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu. Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
  11. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Serikali imeua viwanda vyote hapa Tanga, nikiwa Rais nitasimamia kwa makini sekta ya kilimo na maendeleo ya viwanda

    SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" TANGA Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
  12. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba akiwa Mkinga, Tanga: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais ili nisimamie maendeleo ya kiuchumi nchini

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" TANGA- MKINGA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi unaokuwa kwa kasi bila kuharibu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inachukiwa wakati imeleta maendeleo?

    Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria. Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo...
  14. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Msisitizo katika maendeleo kwa Serikali ya Awamu ya Tano kumeimarisha Muungano na amani Zanzibar

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli kuwatishia wananchi kuwa hataleta maendeleo kwenye maeneo watakayochagua wapinzani, hivi hiyo siyo kuwabagua wananchi hao?

    Kwenye Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1) inasema hivi nanukuu "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi itakayofuata mfumo wa vyama vingi" mwisho wa kunukuu Tumekuwa tulimsikia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli, Mara kwa mara katika kampeni zake...
  16. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

    "Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza" Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma) Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  19. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anakaguaje ujenzi, maendeleo na uhai wa chama usiku? Je, sheria inaruhusu?

    Mimi siyo Mwanasheria ndio maana naomba kuelimishwa huu utaratibu wa wanachama kukutana usiku kujadili ujenzi na uhai wa chama Je, isingewezekana mkutano wa CHADEMA Kibaha na Mlandizi ikaahirishwa hadi leo asubuhi au mchana? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  20. E

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya maisha wengi tunayopitia ni mapito kuelekea maendeleo ya kweli au tunapotezeana malengo na muda?

    Nina miaka kadhaa inayoniruhusu kuwa na familia, lakini pamoja na elimu yangu, sina hela ila nina deni kama la milion 14 hivi ninazodaiwa na bodi ya mikopo, hapo sijaweka zaka ambazo sijui nilitoa lini? Kiukweli moja haikai wala mbili haisimami, Maisha ni magumu, rafiki yangu mwajiriwa na mnazi...
Back
Top Bottom