Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Salaam Wana JF.
Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Sijaona mantiki ya Lissu kupotosha umma wa Watanzania dhidi...
Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5) Katiba mbovu
6) Kukosa uadilifu
Naomba jibu wakuu!
NB: Sijataja jina la mtu
Nauliza tu maana hapa Kihesa Iringa kuna watu wanasuasua kuchangia ujenzi wa madarasa kwa madai kuwa hiyo siyo sera ya chama chao.
Binafsi nimeshachangia mifuko 10 ya cement.
Nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama
Januari imefika taarifa iliyoko ni kuwa watoto wetu wengi wanaoanza kidato cha kwanza hawana madarasa ya kusomea. Hili ni swala la kila mzazi na mwananchi. Hatujui nani katika hawa watoto atakuja kuboresha sera za nchi sisi tukiwa ni wazee.
Watanzania walioko Ughaibuni wangetumika kusaidia...
Lengo hili linahusu kuongeza kipato cha watu waishio kwenye umaskini na kuhakikisha wanapata huduma za msingi na kumlinda kila mtu kuepukana na majanga.
Hivyo basi, Serikali za Mitaa zina jukumu la kuhakikisha kwamba, ifikapo 2030:-
· Zinatokomeza umasikini uliokithiri kwa watu wote...
Maendeleo ya sayansi na tekinolojia yameua mahusiano ya kijamii. Leo hii kila mtu anatembea na simu. Akiwa anasubiri huduma iwe mahakamani au hospitali anaingia Instagram au Facebook. Hakuna muda wa kumsalimia aliyekaa pembeni yako.
Miaka ya nyuma ilikua ni kawaida kugonga mlango katika...
Kwa ufupi tu umoja ni nguvu. Ukiangalia vizuri kuna vitu ambavyo wana EAC tungeweza kufanya pamoja na kurahisisha maendeleo ya nchi zote
1. Madawa tungeweza kuagiza pamoja maana tunaumwa magojwa yale yale hii ingesaidia kupunguza bei ya uagizaji kwasababu tuna nunua kwa jumla. Lakini kwenye...
Stand ya Mbezi nasikia haikukamilika Kama ilivyoelekezwa wakati wa kampeni
Ujenzi wa shule na vituo vya afya unasuasua
Ujenzi huko Dodoma speed si ya kuridhisha
Reli ya kisasa nako nasikia speed si kubwa Kama awali
Je, watendaji na wasimimizi mnasubiri hadi Rais atembelee hii miradi ndio...
Kwa maoni yangu hapa kuna swali fikirishi, tuna miaka 5 mbele yetu ambayo tunaelekea kumaliza siku 60 toka tumalize uchaguzi.
Tulipoanza miaka m5 ya awamu hii tulikuwa na tabia ya kuhesabu siku na kubaini ndani ya siku hizo vitu kadhaa vikiwa vimetekelezwa na kufanyika, kwa kipindi hiki cha...
Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi.
Lakini mpaka sasaivi nikiangalia mifano ya hawa vijana waliopo naona...
Natamani kuona mawazo chanya ya watanzania wakipendekeza nini kingefanyika ili kikidhi matarajio ya ndoto zao na za Taifa.
Hapa tuongelee maendeleo/Uchumi, mambo ya kampeni za siasa tuweke pembeni.
Kama hoja inahusu mkoa/eneo fulani litaje.
Binafsi napendekeza;
1. Vijana wetu wanao maliza...
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia.
Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
Habari wanajamvi!
Tukumbuke ni kitambo sisi tangu uchaguzi ufanyike tarehe 28/10/2020 ila ukistaajabu ya Mussa unaweza kuyaona ya Firauni.
Nasikia kuna viongozi bado wanajizungusha tu mitaani wakidai wanapita kuwashukuru wananchi.Je nani aliyesema wananchi tunataka shukrani ya maneno?
Rais wa...
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kuhusiana na ruti mpya ya ndege za ATCL, kwamba baada ya ukaguzi wa Uwanja huo na kuonekana uko sawa ndege hizo zitaanza kupeleka abiria na kuwachukua kutokea Chato.
Hayo yamebainishwa na ofisa wa shirika hilo Mh Kavishe.
Wakuu,
Hili ni bandiko la manung'uniko kuhusu Mkurabita upimaji viwanja na mchakato wa kupata hati.
Wananchi wengi waliojengwa au kuuziwa viwanja kwenye maeneo ambayo yalikuwa bado kupimwa na serikali wanalalamika, wengine wamelipia ada ya shilingi 310,000/= tangu 2016, 2017 hadi leo hakuna...
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, John Samuel Malecela amewataka watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika juhudi za kujenga uchumi imara na endelevu.
Mzee Malecela ameyasema hayo hivi karibuni katika mahojiano maalum na...
The Exclusive Interview | Hon. Dr. W. Slaa, Tanzania Ambassador in Sweden
Mh. Balozi Dr. W. Slaa anayeiwakilisha Tanzania nchini Sweden azungumzia ngazi za diplomasia toka diplomasia ya utegemezi ili kuletewa Maendeleo mpaka kugeuka diplomasia ya Uchumi na Biashara. Mh. Balozi Slaa anafafanua...
1. HAKI NA USAWA vikubalike na viongozi waliopo. Wajione ni wananchi wa kawaida katika nchi ya Tanzania na sio wamiliki wa nchi ya Tanzania. Watambue uwepo wa watu wenye mawazo mazuri zaidi ya wao hata kama yanapinga mawazo yao. HAKI NA USAWA unazalisha familia yenye upendo na mshikamano pamoja...
Kwa mtu mwenye akili za chini, atamsifia Rais Magufuli kwa kutangaza kwamba mwaka huu hatutakuwa na sherehe za uhuru ili kuokoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya Dodoma.
Kwa mtu mwenye akili ya kufikiria, atajiuliza, hivi inakuwaje tunakuwa hatuna mipango hususan inayotia ndani kutengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.