James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO maana yake ni maendeleo ya vyote!
Kwa mfano, Korea ya Kaskazini wana majengo mazuri, miundombinu na mpaka nguvu za nyuklia lakini watu wake hawana uhuru wa kujiamulia mambo yao.
Kama ilivyo Korea ya Kaskazini, Tanzania tunahitaji kukombolewa ili wananchi wawe na sauti na kujiamulia mambo yao. Ifikapo siku ya kupiga kura Watanzania tuchague maendeleo ya vyote, tuchague UHURU, KAZI NA MAENDELEO.
Haya kwenye picha ni "maendeleo" ya Korea ya Kaskazini.
View attachment 1603935View attachment 1603930