maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano na miradi ya maendeleo isiyo endelevu

    Dunia na Ulimwengu unahitaji miradi endelevu ya maendeleo baada ya mfumo wa miradii ya maendeleo kuonekana haina tija. (The world is focusing on Sustainable Development projects and programs not development projects). Kwanini miradi endelevu ya maendeleo? 1. Miradi endelevu lazima iwe...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini na Serikali ya Magufuli imefanyia kazi components zipi za maendeleo?

    Katika kipindi hiki cha maamuzi na uwekwaji wa mustakabali wa Taifa ni muhimu tukarudi kwenye chambuzi na definitions mbalimbali zinazoelezea maana mtambuka (complex) ya maendeleo. maendeleo ni nini...? Itoshe kusema maendeleo ni jumuiko la mambo kadhaa endelevu yawe ya zamani au hata mapya...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa haki uhuru na maendeleo ya watu

    Wana CHADEMA, viongozi wa kitaifa. Tengenezeni MWENGE kwa jina la HAKI UHURU NA MAENDELEO YA WATU. Upangie ratiba ukimbizwe kupitia majimbo yote ya uchaguzi. Ukimbizwe na team ya walioenguliwa wenye machungu ya kutosha. MWENGE Unaenda kuziba pengo la wiki ya adhabu ya mgombea urais, na pia ni...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi WanaJF, Oktoba 28 tujitokeze kwa wingi chagua chama cha ukweli kwa maendeleo ya kweli

    Wanabodi Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito. Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura...
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Donor countries and organizations, iangalieni kwa umakini kauli ya Magufuli kwamba hatapeleka maendeleo kwenye Majimbo ya Wapinzani

    Donor countries and organization mnatoa hela za maendeleo, lakin mnayempa hizo hela ameapa atazipeleka kwa watu ambao hawajamchagua, huo ni ubaguzi wa wazi wazi. Ni vizuri mkaifanyia kazi kauli yake na kabla hamjampa hizo hela za maendeleo awahakikishie atawabagua wananchi.
  6. escrow one

    JamiiForums Tanzania Wapiga kura hatutishwi na hoja ya kunyimwa maendeleo, tutamchagua Lissu.

    Kuna wagombea wanajipitisha pitisha kututishia kwamba tusipowachagua basi hawataleta huduma muhimu za kijamii kwenye maeneo yetu. Wanaosema haya wameongoza nchi hii tangu uhuru hadi leo lakini bado hakuna maendeleo kwenye maeneo yetu. Kama tumeweza kuvumilia kukosa huduma hizo tangu uhuru hadi...
  7. Shark

    JamiiForums Tanzania GE2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

    Wakuu Kwema? Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake. Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najua 'Unatania' ila kwa sasa unazidisha na kuharibu kwani Kauli za 'Kingonongono' ni nyingi 'Jukwaani' kuliko 'Kujinadi' Kwako zaidi Kisiasa

    Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Haki Haiwezi ikaleta Amani na Maendeleo ya Watu; Amani na Maendeleo ya Watu ni Tunda la Uhuru na Usawa

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua Rais, wabunge na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uhuru na Haki haiweze ikaleta Amani na Maendeleo ya watu; Amani na Maendeleo ya watu ni Tunda la Uhuru na Usawa.

    Na: McWenceslaus 01/10/2020. www.ccmmpya.org Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya kampeni tangu mwanzo hata hivi leo, zikiwa zimesalia siku 27 kufika siku ya kufanya maamuzi ya kamchagua...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  12. proff g

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kupanga ni kuchagua, maendeleo ya watu na vitu hayakuwepo tuliamua kuanza na maendeleo ya vitu

    Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta maendeleo ya watu. Juzi watanzania ndugu zetu walikwama India kwa sababu ya covid 19. Tukatumia...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, Uhuru, Haki na Maendeleo vipo CHADEMA?

    Wakuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28.10.2020, hebu tutafakari pamoja hii kauli mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo. Uzi huu hautalenga kuichambua kaulimbiu hiyo bali utalenga kwenye kuangalia kama kweli kauli mbiu hiyo imekuwa ikitekelezwa kwa vitendo kwenye chama hicho kikuu cha...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Msalala: Nitasimamia maendeleo ya kiuchumi nchini

    PROF. LIPUMBA AKISALIMIA WANANCHI WA MSALALA KATIKA STENDI YA KAKOLA AKIELEKEA KAHAMA NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Slogan ya CHADEMA katika uchaguzi ni "Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu". CCM slogan yao mwaka huu ni ipi?

    Mwaka 2015 slogan ya CCM ktk uchaguzi huo kama nakumbuka vizuri ilikuwa HAPA KAZI TU... Hii ndiyo imekuwa mwongozo tangu wakati huo tangu walipotangazwa washindi na mpaka sasa ktk shughuli za kiserikali... Baada ya miaka mitano, mwaka huu ni uchaguzi mwingine. Mpaka sasa binafsi kwa kweli...
  18. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Ramadhan Ighondo kwa maendeleo ya Singida kaskazini

    Mpeni kura Ramadhani Ighondo watu wa Singida kaskazini mpate maendeleo. Acheni mazoea kwa Nyalandu atawapa nini? Ameshindwa kuwaletea maendeleo akiwa CCM mtayapata akiwa CHADEMA?
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hai: Freeman Mbowe azindua kampeni kwa kishindo, apokelewa na Mabango, shangwe za Mwamba tuvushe zarindima

    Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo Hai Freeman Mbowe , amezindua rasmi kampeni za ubunge na kupokelewa na umati wa wananchi wenye mabango. Mbowe ambaye kampeni nzima hufanya mikutano mitatu tu ya kuomba kura kutokana na kuaminiwa na wananchi , ambao mara zote humtaka...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nitasimamia kwa makini katika Sekta ya Kilimo na Maendeleo ya Viwanda

    NITASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI. Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa vijijini, na kuhakikisha Taifa linakuwa na...
Back
Top Bottom