macho

  1. GE2020 Macho na Masikio yangu katika Uchaguzi Mkuu huu Ujao yatajikita zaidi katika Jimbo la Kawe kwa Ubunge na Udiwani kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz ) Mwijaku achukua fomu kuwania kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo la Kawe. ( globalpublishers ) Aliyekuwa...
  2. Vyombo vya dola endeleeni kuwa macho. Kuna baadhi ya watanzania wenzetu wamedhamiria kuiingiza Nchi katika machafuko ya kisiasa

    Ukiangalia miendo ya wana siasa hasa kipindi hiki ni wazi kuna hali ya sintofahamu ya wazi kabisa juu ya mustakabali wa Taifa letu. Wengi wao wamejiaanda na waziwazi kutaka machafuko yatokee endapo tu ushindi hautakuwa upande wao. Jambo la hatari sana! Kwa viashiria hivyo, naviasa vyombo vya...
  3. Kamati ya Maadili yajifungia kupitia mafaili wataka urais Zanzibar

    Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba za chama hicho. Kamati hiyo ina jukumu la kupitia fomu ya kila mgombea kabla Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM upande wa Zanzibar haijakaa vikao vyake leo vitakavyohitimishwa kesho chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
  4. Khalid Gàngana wa TBC na macho ya kijasusi (huenda akawa mwana Eagle House wa pale Puma)

    Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari. Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid Gangana. Jamaa huyu ukimcheki macho yake kwa wale wanaoujua Mambo ya ujasusi utagundua kwamba ni...
  5. CCM na Watanzania Kuweni Macho; Jamaa Anajiandaa Kuwatoka

    Huu ni uchambuzi mdogo. Msingi wa uchambuzi huu ni matukio yenye shaka katika utawala na siasa za Tanzania kuanzia 2016. Kuna muda, ndani ya kipindi hicho, wakongwe ndani ya CCM, wakiwemo Pius Msekwa na Benjamin William Mkapa, wamewahi kuonya. Kwamba haifai kwa mtu mmoja ndani ya CCM...
  6. K

    Tunaiomba Serikali itupie macho vituo vya mafuta hapa nchini

    Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta. Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
  7. L

    Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

    Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
  8. Rushwa ya Dkt. Kigwangalla isifumbiwe macho na chama

    Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni...
  9. Majasusi waivuruga Australia. Wadukua mifumo yao ya kiusalama ya kompyuta. Macho yaelekezwa kwa China, Russia na Korea Kaskazini

    Nchi ya Australia ipo katika kipindi kigumu baada ya mifumo yake ya kompyuta kudukuliwa na majasusi na kuharibu mifumo yake ya mashule, vyuo na mahospitali Mashambulizi hayo pia yamevuruga na kuharibu mifumo ya kompyuta za masuala ya biashara na mifumo ya serikali kwa ujumla Taarifa yaendelea...
  10. Ni wapi nitapata hospital au mtaalam wa kutibu tatizo la macho?

    Habari za mchana wandugu, Mwanangu ana tatizo la macho, akiwa anaangalia anafanya kama haoni vizuri, yaani macho anafumbua kwa mbali. Hii hali hutokea zaidi kwenye jicho moja, pia akiwa ameshika kitabu huwa anasogeza sana karibu na macho ili aweze kusoma vizuri. Nimempeleka hospital moja ya...
  11. Z

    Siasa za Tanzania na upinzani kiini macho

    Tanzania ni moja ya nchi zinazosifika kama kisiwa cha Amani. Hii ni kutokana na namna siasa na utu wa watanzania unavyothamini Amani na utulivu. Tanzania imeingia katika mfumo wa vyama vingi tangia 1992 na hadi sasa chama kikuu cha upinzani ni chadema. Hata hivyo; vyama vya upinzani Tanzania...
  12. TANROAD Dar mtalipa uhai wa Watu na magari kwa uzembe huu? Au Rushwa imewatoboa macho hamuoni?

    Habari wana jukwaa, Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
  13. Wanadamu tulipofikia hatuhitaji kurekebisha tena vitu tunavyoviona kwa macho yetu ya nyama

    Wanadamu katika zama tunazoishi tumefikia hatua inayoweza kuharibu kabisa Dunia tunayoishi na kutowesha kabisa kizazi cha jamii yetu.Leo kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mtu mmoja tu anaweza akafanya maamuzi ya kuangamiza na kutisha kabisa. Kama ni uharibifu wa mazingira...
  14. B

    Corona: Tuweni macho na hivi vifo vya ghafla ghafla

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi: Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
  15. T

    Tanzania tumeshindwa kuwa hata wanafiki, sasa macho yote kwa John

    Nimetafakari sana na nimewaza sana huu mlima tumeujenga na sasa unageuka kuwa maporomoko au kizingiti chetu na dunia ya kwanza. Tulianza kama masihara na abiria kiukweli tulimsifia dereva anajuwa kuendesha kilimani gari ila pamoja na yote sasa huu mlima unataka kitufunika na safari yetu kuingia...
  16. K

    Nitampata wapi Daktari na hospitali nzuri ya macho mzuri?

    Habari wakuu, Ninasumbuliwa na macho, ni hospital gani ya private naweza pata daktari mzuri wa macho siku ya leo? Msaada wenu kwa anayefahamu tafadhali.
  17. Kwanini hatufuniki macho kujikinga na Corona wakati virusi vinaweza kuingia kupitia hapo

    Corona inaingilia machoni, puani na mdomoni. Tunafunika mdomo na pua kujikinga na corona. KWANINI HATUFUNIKI MACHO KUJIKINGA NA CORONA? Nawasilisha.
  18. GE2020 Asante DED kutufumbua macho: Alichofanya DED wa Ubungo Beatrice Rest Dominic ndicho kitakachofanyika wakati wa uchaguzi Mkuu

    Ni kwamba kutakuwa na barua zinazodaiwa za chadema zinazoonyesha uteuzi wa wagombea, na wagombea halisi kukataliwa kuchukua fomu. Mfano: Chadema inampitisha John Mnyika kugombea kibamba, anaenda kwa DED kuchukua fomu, anaambiwa kuna mwanachama alikuja na barua ya uteuzi ya chama anaitwa Asha...
  19. Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho

    Watanzania wenzangu nawapenda sana,mnapojifukiza msisahau kufumba macho ili mkopona muendelee kupost na kukoment humu JF. Madhara ambayo yanaweza yakapatikana kwenye kujifukiza ni pamoja na ukungu kwenye macho kama sio upofu kabisa. Binafsi nimeitumia Sana tiba hii lakini kabla hata covid-19...
  20. DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…