Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona.
--
ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI)
Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
KATIKA kipindi hiki cha kuelekea Sikukuu ya Pasaka, idadi ya abiria katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, imepungua tofauti na miaka mingine inavyokuwa. Kipindi cha Pasaka katika miaka mingine kuanzia Alhamisi Kuu na kuendelea kunakuwepo na abiria wengi wanaokwenda mikoani...
Tar 27 Apr tunarajia BAADHI ya boda zitakuwa HURU kwa matumizi
Wale wanaojua USAFIRI mzuri WA mabasi na lodge/guest house za BEI rahisi msaada pls
Tupeni majina ya mabasi na BEI za TKT pls to kampala
#Usisahau kadi ya chanjo pls..
Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa.
Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona.
Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
Jana serikali ilitangaza hatua za kudhibiti Corona katika vyombo vya usafiri na kuwataka wenye mabasi wote kupakia "level seat"
Leo Waziri wa Afya wa Kenya ametangaza mabasi ya daladala (matatu) kupakia abiria 60% ya uwezo wake akisema yale ya abiria 25 yapakie 15, yale ya abiria 20 yapakie 12...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano.
Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
Mahakama Kuu Mwanza imemhukumu adhabu ya kifo mfanyabiashara wa kampuni ya mabasi J4, Jumanne Mahende (45) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya kuwaua watu wawili kwa kukusudia. Jumanne alikuwa akikabiliwa na Kesi ya mauaji namba 131 ya mwaka 2015
Anadaiwa kuwa Julai 13, mwaka 2015, saa 4...
SCANIA IKO TAYARI KULETA MABASI YANAYOTUMIA GESI YA ASILI NCHINI TANZANIA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Scania Tanzania Lars Eklund akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu utayari wa kampuni hiyo kuleta mabasi
yanayotumia nishati ya gesi asilia...
Habarini wakuu
Watanzania wanaendelea kubuni fursa za kiviwanda baada ya mtanzania mwenzetu Blasto Makundi(BM) kumiliki kiwanda Cha kuunganisha mabasi katika eneo la Kibaha mkoani Pwani
Kiwanda hicho kina uwezo wa kuunganisha mabasi makubwa ya kubeba abiria 50 na kuendelea
Makundi pia...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikikerwa na hili jambo.
Bei ya chakula cha hizi hoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri haiendani na huduma wanayopewa lakini naona mamlaka husika zimekaa kimya. Na hili naomba lisichanganywe na suala la wakulima kujipangia bei, msafiri sio mkulima ni mtu anayekuwa hana...
Ni muda sasa tokea Mkandarasi alipomaliza kuondoa udongo wa zamani na kuweka udongo mpya na kushindilia barabara hiyo lakini tokea waliposimama ni muda sasa.
Awali kulisikika kelele au maneno kwamba wamesimama kwa sababu ya mvua lakini wachunguzi wa mambo tumegundua sio mvua kwa maana tokea...
Mimi / sisi m /wakaazi wa eneo la VIKUNAI, MANISPAA YA TEMEKE, jirani na mradi wa NSSF KIJICHI, kwa mujibu wa taratibu za usafiri na usafirishaji, tunazo gari za RUTI tofauti kuna za TEMEKE - VIKUNAI kupitia KIJICHI na zingine ni za VIKUNAI - STESHENI kupitia Mbagala Zakhiem.
Naanza na hizi za...
Siku chache zilizopita DC wa Hai, Ole Sabaya alijitokeza mbele ya vyombo vya habari akiwatuhumu wamiliki wa mabasi ya Limu Safaris na Machame Safaris kuwa wameunda magenge ya kiuhalifu ya uhalifu ya kuhujumu reli kati ya Moshi na Arusha na hivyo akawataka wamiliki wa mabasi hayo wajisalimishe...
Kama ilivyoripotiwa na mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya kuwahusisha wafanyabiashara wa mabasi siku chache zilizopita, uchunguzi umebainisha taarifa za Mkuu wa Wilaya hazikuwa na Ukweli.
My take ; Ole Sabaya unapaswa kuomba msamaha na kuwalipa faini uliowatuhumu
Chanzo: ITV
Pia soma > Hai...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepiga marufuku mabasi ya abiria kuruhusu abiria kuchimba dawa (kujisaidia) kwenye maeneo yasiyo rasmi, na kwamba endapo wakibainika watapigwa faini ya Sh. 200,000 au kifungo cha miezi sita jela.
Sambamba na hilo, imeagiza mabasi hayo kupuliziwa dawa za kuua...
Halmashauri ya jiji la Dsm na ile ya Manispaa ya ubungo zimeanza kusimamia kisiasa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kituo hiki ni mbadala wa kile cha ubungo.
Source Clouds 360
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya)
Ni shilingi ngapi?
Na pia nahitaji kujua Umbali wake.
Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
Maradi huo unatarajiwa kugharimu kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 50.9 mpaka kukamilika kwake
Hata hivyo Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jaffo ametaka apewe taarifa kuhusu mpango wa ujenzi ndani ya siku 7
Endapo Halmashauri ya Ubungo itashindwa kufanya hivyo fedha hizo zitapelelwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.