mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

    Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi. Watu ni wengi sana. Up dates; ==== WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
  2. J

    JamiiForums Tanzania UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

    Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. === MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI: Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya imetoa muongozo kwa watumiaji wa magari ya Mwendokasi

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus. Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kituo cha mabasi ya mkoani Mbezi Louis chakamilika, kufunguliwa rasmi 25/02/2021, Ubungo kufungwa rasmi Jumatano

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia Alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika. Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa Ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

    Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake. 1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya usafirishaji abiria, vifurushu na pesa Tanzania) Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye A, B na C kuhusu mabasi ya Kimotco Express

    Wakuu shwari? Naomba mwenye taarifa zaidi kuhusu haya mabasi ya Kimotco Express. Kuna ndugu yangu amekata tiketi kwenye basi hilo kutoka Arusha kwenda Mbeya, nauli TSH 55,000. Kwa wale ambao wamewahi kusafiri na mabasi ya Kimotco Express hasa ruti ya Arusha to Mbeya, vipi kuhusu huduma zao kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mabasi ya abiria kukaa stendi za wilaya na Mikoa watu wale na kupata huduma ya maliwato yanatekelezeka?

    Naona Kama nchi Sasa inakopelekwa si kuzuri, kila Jambo analoona Waziri au kiongozi wa chama linakuwa sheria. Nimemsikia polepole na Waziri chanel ten wakitoa maelekezo kwa mabasi yote kukaa stand muda mrefu watu wale nakujisaidia. Najiuliza Hawa watu wanajua hizo stand zina hadhi gani...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, nitajie kituo Cha mabasi cha Wilaya au mkoa chenye Hoteli yenye hadhi Kama hoteli binafsi zinazohusu abiria wa safari ndefu

    Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

    Habari njema kwa wasafiri na abiria wa mikoa ya nyanda za juu kusini magharibi. Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana. Hii Ni habari njema Sana. Pruuuuu mpaka Maka
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Tunduma, je kampuni gani ina mabasi ya Scania? Ushauri tafadhali

    Kwa kawaida ninavyoenda Moshi na Arusha huwa natumia mabasi ya Dar Express, kiukweli vile visu viko very comfortable. Je, Dar - Mbeya - Tunduma kuna mabasi ya Scania? Haya ya Mchina mtu unafika ukiwa umechoka. Bujibuji na Erythrocyte ushauri Tafadhali. Maendeleo hayana vyama!
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Wazo kwa wilaya kigamboni anzisheni stand ya mabasi kwenda mikoa kwa kigamboni

    Wazo kwa wilaya kigamboni kutokana geography ya eneo LA kigamboni kuanzisha stand mabasi mkoani itasaidia wananchi pia no chanzo cha mapato
  12. Matanga

    JamiiForums Tanzania Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

    Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
  13. Dumbuya

    JamiiForums Tanzania Nyanda za Juu Kusini: Uwekezaji kwenye Kusafirisha abiria (Niliyojionea)

    Habari Wanajamvi...Heri ya Mwaka Mpya ! Nipende kuleta kwenu mtiririko wa matukio na hali halisi niliyoshuhudia katika kuelezea sekta ya usafirishaji (abiria) nyanda za juu kusini (Iringa,Njombe,Ruvuma na Mbeya).Kutokana na uchangiaji wa moja kwa moja wa sekta hii kwenye uchumi na uhitaji wa...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo . Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa hili la kuhubiri ndani ya mabasi ya umma?

    Wadau naomba kuzungumzia kuna hili jambo kwa sasa limezidi kushika kasi kuhubiri ndani ya daladala imekuwa sehemu nyingi hasa mabasi ya Tegeta toka mjini yaaani mnakosa utulivu kwenye mabasi na mwisho wa siku wanachangisha sadaka sasa najiuliza hii hali vipi wadau
  16. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi jiongezeni mpige pesa zaidi, kituo cha mabasi Mbezi Luis ni changamoto kwa abiria

    Kusema kweli kwa sasa wateja wa mabasi ya mikoani kupitia njia ya Morogoro rd. Watapata tabu sana. Kwanza naipongeza serikali kwa juhudi zake katika mradi huo lakini location si rafiki kwa wateja wote. Unatokea Mbagala,Mbande, Kisewe, Vikindu, Kisemvule, Gongo la Mboto na Chanika n.k...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kituo kipya cha mabasi Dar kuanza kutumika Desemba 20

    KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga, amewataka viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuhakikisha Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani cha Mbezi Luis, kuanza kutumika ifikapo Desemba 20, 2020. Ametoa maagizo hayo leo Desemba 7, 2020, alipotembelea...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wenye mabasi wapoteza bilioni 196/- kwa kutotumia tiketi kwa njia ya mtandao

    ZAIDI ya Sh bilioni 196 zinapotezwa na wasafirishaji wa mabasi kila mwaka kutokana na kutotumia mfumo wa ukatishaji tiketi kwa njia ya mtandao (POS) uliobuniwa maalumu kwa utoaji wa huduma ya usafiri. Aidha hatua hiyo pia imekuwa ikiipotezea serikali zaidi ya Sh bilioni 38 kila mwaka...
Back
Top Bottom