Moja kwa moja kwenye mada.
Kwa mtindo huu wanaotumia madereva wenu hakika utadumu ila hautaweza kuhimili soko.
Dereva anataka kuwahi kufika Arusha au Mwanza saa 1700hrs, uko njiani ni fujo na hasara anayokuingizia ipo hivi; njiani kuna matuta makubwa (humps) na zile rasta (rumbles) anachofanya...
Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake...
Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe,
Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa.
Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS.
Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China.
Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake.
Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu.
Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
Uko zako ndani ya Basi la Mikoani na kwa bahati nzuri unaweza kukuta ama umebahatika Kukaa na Mrembo Kiti Kimoja na unaanza zako Kumuingizia Voko zako au labda Kondakta wa Basi husika ameweka Sinema Moja Kali na Matata yenye iliyo na Mvuto halafu unakuta katikati ya Safari kuna ama Abiria...
Unakuta unasafiri Umbali mrefu sana kama wa kutoka Mkoani Dar es Salaam na kwenda zako Mkoani Kigoma halafu unajikuta umekaa Siti moja na Abiria ambaye huwa ana tabia zake za Kipuuzi Kipuuzi tu ambapo Usingizi ukimshika atakuegamia na kuanza Kukulalia na hapo hapo akikulalia ataanza Kukutolea...
Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo!
Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo!
Swali hapa je, kwanini Ni machache?
Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na...
Iwe Kampuni ya mabasi ya kutoka mkoa ulipo kwenda mikoa mingine au safari za ndani ya mkoa.
Zipo kampuni mpya zinakimbiza mbaya sana.
Zipo kampuni za zamani bado zinatesa.
Achana na zile zinazochechemea
Vigezo viwe:-
Huduma zilotewazo na hayo mabasi
Upya wa mabasi
Nauli
Hii itasaidia memba...
Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Fresh ya Shamba
No Challenge
Safina
Inter City
Zafanana...
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.
Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia...
Na kama haitoshi kuna Abiria wengine mkiwa mnayakaribia tu hayo Maeneo tajwa Mawili Maandiko ya Vitabu vya Dini vya Biblia Takatifu na Quran Tukufu huwa wanayakumbuka na pia wanajua mno Kuyadadavua kwa mapana yake.
Na kinachonishangaza sana mkiyapita tu hayo Maeneo utaona Abiria wote ndani ya...
Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo
Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali...
Ugandan students at Makerere University have produced their first set of electric buses. Africa Facts Zone on Twitter
Je hawa wanafunzi wa vyuo vyetu wanatengeneza nini?
HALMASHAURI ya jiji la Dodoma imezindua mfumo rasmi kwa njia ya mtandao ambao utatumika kila mwananchi kujaza fomu ya maombi ya kupata kibanda cha biashara katika miradi ya soko kuu la Job Ndugai pamoja na stendi kuu iliyopo Nzyuguni ikiwa ni jitihada za kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo...
Huyu mwanamke amekutwa na wananchi akiwa hoi kwa kuumwa kifua karibu na mpakani Makuyuni.
Nikiwa nimiejituliza naangalia runinga kuna taarifaya habari ambayo inahusu wageni ambao wanaingia nchini kupitia njia za vichochoroni au njia za panya.
Katika taarifa hiyo ya habari, wakuu wa mikoa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.