Usafiri wa mabasi yaendayo Uganda

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Tar 27 Apr tunarajia BAADHI ya boda zitakuwa HURU kwa matumizi
Wale wanaojua USAFIRI mzuri WA mabasi na lodge/guest house za BEI rahisi msaada pls

Tupeni majina ya mabasi na BEI za TKT pls to kampala
#Usisahau kadi ya chanjo pls..
 
Sijui bei rahisi kwako ni ngapi. Kuna "The Pacific Hotel" ipo "City Centre" kabisa (William Street), jirani na kituo cha zamani cha daladala, wenyewe wanaita "taxi" badala ya daladala. Ilikuwa ni kama Shillingi 75,000 za Uganda, ila nikirudi watanishika tena. Ni wasafi, lugha nzuri, breakfast pouwa kabisa, WiFi speed nzuri, Bar matata...
 
Hii hotel nilikua nafikia mara kwa mara nikiwa kampala..nilikua nalipia elfu 75,000 za kiganda..kuna wifi, hot water, chumba kubwa, kuna club kwa chini na bar, breakfast (e.g Rolex😋)...ipo hapo hapo town!! Cheki na hiyo linki uweze kuona picha na jinsi ilivo ukiridhika unaenda..👇

*Sunrise Hotel"

Rashid Khamis Rd, Kampala, Uganda

+256 751 070550 https://g.page/sunrisehotelkampala?share
 
Kuna nyuzi nyingi sana huku zinaongelea kuhusu safari za kwenda Uganda (nauli, malazi, sehemu za biashara). Jaribu kuzitafuta kwani hata mimi nilikua nina safari ya Uganda ila ilibidi nighairi kutokana na janga la Corona. Ila kama 27 Apr mipaka itafunguliwa itakua jambo jema kwani nadhani Corona itakua imeshaisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna uwezekano wa juongeza siku tena kwa week mbili(keaho ndo runategemea wataongeza) ila nivizuri ukapanga safsri yako mwezi wa tano kwa usalama wako zaidi
 
kuna uwezekano wa juongeza siku tena kwa week mbili(keaho ndo runategemea wataongeza) ila nivizuri ukapanga safsri yako mwezi wa tano kwa usalama wako zaidi
mkuu nimeona kesho. Mzee anaongea wacha tusubiri anasema nini mpwaa
 
Back
Top Bottom