mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma inatia aibu kwa mazingira machafu

    Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku. Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana. Hii ni aibu, Uongozi wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Mfawidhi LATRA mkoa wa Arusha Michael John wananchi wa King'ori na Kikatiti wanateseka mabasi yanaishia Maji ya Chai

    Tumesema mara nyingi kuwa kuna haya mabasi yanaitwa Covid-19 yamesajiliwa na serikali kupitia LATRA kufanya safari zake kutokea maeneo ya Oldonyosambu, Ngaramtoni, Monduli, Kisongo, Morombo, Intel, Mapambazuko kupitia Stand ndogo Arusha mjini kwenda Kikatiti na King'ori. Ukweli ni kwamba hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tilisho wametangaza nafasi za wahudumu wa Mabasi yao pamoja na Wakatisha tiketi

    Habari Wadau, Nimekutana na tangazo la kazi likionesha kuwa Kampuni ya usafirishaji ya Tilisho inahitaji Wafanyakazi kwa nafasi ya Wakatisha Tiketi na wahudumu wa ndani ya Mabasi. Nimepata mashaka baada ya kuona ukilifuata tangazo hili ndani yake linahitaji usambaze link kwenye magroup ya...
  4. JamiiForums Tanzania Napendekeza kofia ngumu ndani ya usafiri wa mabasi

    Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini? Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani, Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu...
  5. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa. Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Huduma ya choo ndani ya Mabasi ya masafa marefu iwekwe kwenye Mabasi ya madaraja yote

    Salaam ndugu zangu, Kuwapo kwa choo kwenye basi lolote la masafa marefu ni muhimu na ni huduma inahitajiwa na abiria wote. Kitu cha kushangaza huduma hii ya lazima imetengwa na kuwekwa kwa mabasi ya Luxuary pekee. Huduma ya choo ni muhimu kama ilivyo huduma nyingine, kwa jinsi binadamu alivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo waitaka Serikali kusitisha Nauli mpya za Mabasi na Daladala, kushusha bei ya Sukari

    Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupunguza mzigo wa gharama za maisha kwa Wananchi kwa kusitisha Nauli Mpya za Daladala na Mabasi zilizoanza kutumika Desemba 2023 pamoja na kushusha Bei ya Sukari inayolalamikiwa Nchi nzima. Kupitia taarifa yake, ACT Wazalendo kimesema kitendo cha...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya Tunaomba mchunguze uwepo wa kunguni na mende wadogo kwenye mabasi ya abiria safari ndefu

    Serikali kupitia wizara ya afya Tunaomba mfanye ukaguzi kwenye mabasi ya usafirishaji wa abiria hasa safari ndefu jamani mabasi yana kunguni na mende wadogo wengi jambo lina hatarisha afya ya abiria. Siku zakaribuni nikiwa na abiria wenzangu tulishuhudia utitiri wa kunguni kwenye basi la...
  11. JamiiForums Tanzania Mabasi ya abiria ni machafu, Nacharo T 706 DVF wajirekebishe

    Nawasilisha hili kwa wasafiri wenzangu wa mara kwa mara na kwa wenye nafasi ya kufikisha taarifa hii kwa wahusika. Kuna kampuni ya usafirishaji abiria inaitwa Nacharo Royal Bus, ambao hufanya safari za Tanga Dar nk. Kuna hili bus lao moja usajili wake ni T 706 DVF ni chafu linanuka uvundo na...
  12. JamiiForums Tanzania Udalali stendi za mabasi too much

    Ifike muda udikteta tu uje na kuwaondoa hawa madalali kwa nguvu hata km damu ikimwagika coz imezidi. Mtu hata raha huna ni harassment daily tu hata uwe na tiketi yako au la kwenda mikoani. Na pia ifike muda sio kila basi lipewe leseni ya kusafiri km halikidhi hadhi. Unakuta kampuni km 100 98...
  13. JamiiForums Tanzania Mjue Mbunge Maganga Aliyekuwa Dereva wa Malori na Mabasi na Sasa ni Mbunge wa Jimbo la Mbogwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA: NILIKUWA DEREVA WA MALORI NA MABASI, SASA NIMEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE "Nimetokea familia ya maisha ya kati sana. Baba yangu ni mkulima na Mfanyabiashara, nimebahatika kuwa mtoto wa nane katika familia yetu. Tulikuwa tunaishi Shinyanga Vijijini lakini baadaye...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua mgahawa kwa ajili ya mabasi ya mkoani njia ya Mbeya - Dar

    Habari, Naomba ushauri, Nataka kufungua mgahawa wa kulisha mabasi kwa njia ya Dar - Mbeya, Nimeona kuna changamoto ya vyakula vibaya katika njia hii. Mtaji ninao 120milion, Nina migahawa ya kawaida (restaurant Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam inayojulikana kwa jina la ifood hivyo nina uzoefu na...
  15. JamiiForums Tanzania Paving za kituo cha mabasi kibaha kurekebishwa upya, hazina hata miaka 8 ya kutumika

    Baadhi ya maeno ya paving kwenyw kituo cha mabasi kibaha maili moja yanafanyiwa marekebisho, kituo hizi hakijazidi miaka nane tangu kigunguliwe rasmi. Kwa mujibu wa website ya kibaha mji, ujenzi uligharimu 3.3 bilions, na kilianza kutumika October 2018. Stendi Kuu Mpya Kibaha Kuanza Kutumika...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  17. JamiiForums Tanzania LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

    Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
  18. JamiiForums Tanzania ☯️🔴🔵 VIJUE VIGEZO (17) VYA KUTOFAUTISHA MABASI (DARAJA LA KAWAIDA, DARAJA LA KATI NA LA KIFAHARI)

    Ukiwa na changamoto yoyote kwenye basi, wasiliana na LATRA 0800110020. MAGUFULI BUS TERMINAL 0734450010. Watu wengi au abiria bado hatuna elimu ya kutofautisha haya madaraja ya mabasi licha ya mamlaka kupanga nauli kulingana na vyombo husika bado tunahitaji uelimishwaji wa hali ya juu. Leo...
  19. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA. Chanzo gazeti la Mwananchi.
  20. JamiiForums Tanzania Senegal yazindua mabasi ya Mwendokasi

    Nchi ya Senegal imezindua mradi wa usafiri wa kwanza wa mabasi yaendayo kasi ya umeme (BRT) katika mji mkuu wa Dakar. Katika hafla ya uzinduzi, Waziri Mkuu wa Senegal Amadou Ba alisema kuwa mradi huu ni miundombinu ya kisasa sana, na pia ni uvumbuzi mkubwa. Mradi wa Dakar BRT, unaojivunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…