Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.

Screenshots_2024-01-08-16-08-25.png


Chanzo gazeti la Mwananchi.
 
Kamati ya ulinzi na usalama yawakamata watumishi wa kampuni tajwa hapo juu!!! Nani kawapa mamlaka hii to arrest? President alishatamka kuwa arresting ifanyike baada ya uchunguzi kufanyika na DPP aka apply mind kuwa kuna winnable case, sasa unawakamata hawa dagaa hata docket police huna, ni police tu ndio wenye uwezo to arrest, na anayekamatwa LAZIMA aelezwe why anakamatwa na haki zake, nchi Choo sana hii
 
Kamati ya ulinzi na usalama yawakamata watumishi wa kampuni tajwa hapo juu!!!,nani kawapa mamlaka hii to arrest?,President alishatamka kuwa arresting ifanyike baada ya uchunguzi kufanyika na DPP aka apply mind kuwa kuna winnable case, sasa unawakamata hawa dagaa hata docket police huna,ni police tu ndio wenye uwezo to arrest, na anayekamatwa LAZIMA aelezwe why anakamatwa na haki zake, nchi Choo sana hii
Punguzeni janja janja ma agent uchwara

Mnatapeli abiria mkijua mtapona imekula kwenu
 
Back
Top Bottom