maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Maana ya Usimulizi

    Maana ya Usimulizi Ni dhana inayoelezea utoaji wa habari au hadithi kwa kutumia mdomo au maandishi. Pia usimulizi huweza kuwa wa matukio mbalimbali kwa kuzingatia ufasaha wa Kiswahili yaani kiimbo, matamshi, sarufi na matumizi ya lugha Aina za Usimulizi (a)Usimulizi wa hadithi (b)Usimulizi...
  2. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Historia Na maana ya Bongo Fleva

    Bongo Flava ni jina Mbadala la muziki wa Hip hop ya Tanzania. Mtindo huu ulianzishwa kwenye miaka ya 1990, hasa ukiwa kama mwigo au utokanaji wa hip hop kutoka Marekani, ikiwa na ongezeko la athira ya muziki wa reggae, R&B, afrobeat, dancehall, na mitindo ya asili ya Kitanzania kama vile taarab...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba tengenezeni timu acheni porojo zisizokuwa na maana

    Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu nyingine wahasisi wa hii michezo michafu ni simba. Tunajua mwamed alitumia pesa nyingi nje ya...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

    Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
  6. jMali

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa "Wakili Msomi" kwa Mawakili au wanaSheria

    "Wakili msomi" ina maana gani? Je kuna wakili "asiye msomi"? inamaanisha nini? Msaada tafadhali.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania au CHADEMA wana hatimiliki

    Nakumbuka CUF iliwai kuwa cha kikuu cha upinzani na mara tu kilipopoteza wingi wa uwakilishi bungeni hawakujiita tena chama kikuu cha upinzani walikoma. Napata tabu kukielewa chama hiki cha Democrasia na Maendeleo Chadema kina baka hadi ukuu wakati kina mbunge 1 wa kuchaguliwa. Nini tafsiri...
  8. Keynez

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Mbowe waache maswali yasiyo na msingi, ulizeni maswali ya maana mteja wenu aachiwe haraka

    Katika ufuatiliaji wangu mdogo, watu wengi wameonekana kuwa na ushabiki na mihemko kuhusiana na kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Wengine wameonekana kuwasifia mawakili wa mtuhumiwa kwamba wana ustadi mkubwa katika kuwabana mashahidi wa upande wa mashtaka (eti hadi...
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

    Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer. Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
  11. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

    Tupeana maana ya hii picha?
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wife alikuwa na maana gani hapa wakuu?

    Habari wakuu? Last weekend nimemuaga wife kuwa nakwenda bar ya jirani hapo kucheck mechi ya Man. U, cha kushangaza wife akanijibu uwasalimie wahudumu (bar maids) wa hiyo bar. Nimemtafakari sana kutaka kujua hilo jibu lake lilikuwa na ujumbe gani kwangu ila sijapata majibu. Kwa wazoefu wa haya...
  15. Papa Mopao

    JamiiForums Tanzania Tufundishane/ tueleweshane kidogo kuhusu timu kubwa barani Africa, hapa ndo tunajifunza na kuelewa

    Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
  16. F

    JamiiForums Tanzania Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kuwa na strong password?

    Habarini humu waungwana? Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Maana na aina za sentensi katika lugha ya Kiswahili

    1 Sentensi Shurutia. ni sentensi inayohuundwa kwa viambishii kama -ngeli-, -nge-, na -ngali-. kwa mfano: (1) ningelikutana naye angelinisaidia sana. vilevile aina hii ya sentensi hutumia kiambishi -ki-; kwa mfano: (1) ni kimwona tu nitakwambia. 2 Sentesi-Sahili Sentesi sahili ni kifungu cha...
  19. mshale21

    JamiiForums Tanzania Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

    Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote! Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja! Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba jiuzulu; ulilazimisha wananchi wanyonywe kupitia tozo kubwa

    Uliwadharau Watanzania na ukatoa kauli za kebehi kuwa hii ni sheria ya bunge hivyo kila mtanzania anatakiwa kulipa tozo za kizalendo ili kujenga shule, zahanati na vituo vya afya. Watanzania wakakuona hufai maana ulibuni chanzo cha mapato kisichofaa na kinachowanyonya watanzania wanyonge. Maana...
Back
Top Bottom