maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

    LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA: Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa CHADEMA ratibu ukusanyaji ushahidi dhidi ya Sabaya maana ukatili mwingi walifanyiwa wanachama wa CHADEMA

    Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hakimiliki?

    Hakimiliki ni utaratibu wa kisheria unaompa mmiliki wa kazi za akili haki ya kuamulia matumizi yake. Sheria za hakimiliki zinalenga kukinga watungaji wa kazi za akili dhidi ya matumizi ya kazi yao na wengine wanaojipatia faida kwa njia hiyo bila kumzingatia mtungaji anayeweza kukosa ruzuku...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe machinjio ya Tegeta

    Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo Habari za awali zilizopatikana katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa kinamzuia Mama Kunyuka Pamba za maana alipokuwa Makamu na sasa anazinyuka kweli kweli?

    Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu. Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake. Halafu naona hata Usoni...
  6. baiser

    JamiiForums Tanzania Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa CCM kuandaa Chama kingine cha Upinzani maana waliopo sasa Wananchi walishaona hawajitambui

    Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu. Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za...
  8. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

    1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi? 2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya? Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?. SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya...
  9. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mikono elekezi utadhani mtu wa maana

    Serikali mnaingilia soka? ukiona anavyoweka mikono utadhani mtu wa maana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ilitoa maagizo ya maandishi kwa TFF maana isije kuwaruka

    Serikali kwakuwa nyie ndio mmetajwa katika taarifa ya TFF kuwa mmeagiza mechi ya Simba na Yanga isogezwe mbele mpaka saa 1:00 usiku badala ya kuanza saa 11:00 jioni kama ilivyokuwa imepangwa awali, ni vema mkatoa maelezo kwa umma ili msije kuwaruka TFF ingawa nao hawakuwa makini kupokea maagizo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tatizo letu Watanzania tupo Low Key kwenye ishu za Maana; High key kwenye upuuzi. Mama Samia pandisha Key

    WATANZANIA WENGI NI LOW KEY KWENYE ISHU ZA MSINGI; HIGH KEY KWENYE UPUUZI. RAIS PANDISHA KEY Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nimefurahishwa kwa kiasi kikubwa na mwanzo mzuri Rais, Mhe Samia Suluhu. Uongozi wa Samia Suluhu unahitaji watu High Key ambao wanajitambua, wanaakili, macho ya kuona...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

    Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
  16. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Nini maana halisi ya Mapenzi?

    ....
  17. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada kuhusu maana ya majina haya kwa kiswahili

    Hii mimea kwa kiingereza 1.Unaitwa -chamomile 2.Unaitwa-nutmeg nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa. Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Weka msamiati ulioibuka awamu iliyopita na maana zake

    Awamu iliyopita ya hayati Magufuli, imekuza kiswahili kwa kufukua lahaja, tungo,misamiati mipya na kufufua mikuukuu. Ila cha ajabu mingine nilikuwa nafuata mikumbo tu bila kujali maana. Karibu uelezee unaoufahamu Chawa Mataga Tumbua Shangazi Shemasi Kukatwa mkia Beberu Wanyonge Bashite ...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

    Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza zaidi Chato 3. Kukomoa Matajiri wakubwa 4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini 5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
Back
Top Bottom