Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha tulipopata tatizo kubwa.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
===
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa...
Katika dunia hii kuna watu wameikumbatia sana corona na wanaitumia kufanikisha malengo yao!! Kwa bahati mbaya sana kuna mataifa mengi hasa ya kiafrika yanayocheza ngoma wasiyoielewa!
Hawajui malengo ya wanaoipiga!! Kuna watu wanafurahia sana kuona mahali fulani maambukizi yameongezeka na wako...
Kwa msanii mkongwe kama Ali Kiba kushindwa kumpiku Zuchu ni aibu kubwa sana.
Inamaana Zuchu amekuwa mkubwa kuliko Ali Kiba?
Ni maswali tu wanayojiuliza wataalam wa mambo ya muziki.
Wakubwa shikamooni, Naomba Leo niwe mjinga kiwango Cha lami ya kutoka Iringa kwenda dodoma.
Leo hii tunashuhudia kesi mbali mbali zikiwa zinahitimishwa mahakani na watuhumiwa kuachiwa huru bila kukutwa na hatia, na majaji au mahakimu wakisema ushahidi umeshindikana kuletwa au kujitosheleza...
Habari wadau
Mm ni mwajiriwa nafanya tender lakini mara kadhaa nimekutana na hayo maneno katika TENDER number lakini nimejaribu kugoogle nimeshindwa kupta abbreviations zake kwa anayejua maana zake naomba anielimishe ili kuongeza ufanisi wa kazi.
mfano ukiona tender imeandikwa ICB means...
Habari Tanzania!
Naomba niwakumbushe vijana, wazee na watoto machipukizi ya kuwa Uzalendo huwa unajumuisha na kubebwa kifuani na watu wachache.
Katika taifa lolote walio wazalendo huwa ni wachache sana na wanauwezo wa kufanya lolote, popote na wakati wowote kwa kuishi katika manufaa ya taifa...
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi.
Katiba yetu iko wazi jinsi...
Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa.
Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani.
Ushauri tu kwa kada wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Simbachawene akiongea mbele ya Rais Samia amesema pamoja na uamuzi mzuri wa kushusha kiwango cha faini kwa Bodaboda haina maana kwa vijana kwa vijana watumie nafasi hiyo kuvunja sheria ya usalama barabarani.
Simbachawene amesema pamoja na jitihada zinazofanywa na Jeshi...
Wadau Kuna mdada nilikutana nae humu mitandaoni tukaelezana ya kwetu mpaka na contacts tukapeana tukatafutana mpaka tukaonana!
Tukakubaliana tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sharti la kupima afya kwanza! Kabla ya kupima afya huyu mdada alinipeleka mpaka kwa ndugu zake wa karibu...
Wataalamu wa KEMIA mtusaidie tunaponunua maji kitu gani cha msingi cha kuangaliaaa?
Huwa nasikia sikia wengi wanasema maji yenye sodium ndogo ndio mazuri.
Mwenye uelewa hizi composition zina maana gani kwenye maji ya kunywa
Calcium
Chloride
Flouride
Potassium
Sodium
PH
Msaada kwenye tuta
Namnukuu Mbowe
''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?
kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena...
Habari,
Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu.
Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha.
Pigia Yesu Makofi 👏👏
MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.