habarini!
wakuu kuna maana gani kwa ndoto hiyohiyo kujirudia rudia?
unaota, unaamka na kutulia kidogo. ukilala inakuja tena ndoto ileile. unaamka tena, unaenda chooni kujiweka sawa, unarudi na kulala kidogo tu inakuja tena ndoto ileile.....ina maana gani?
kama hiyo haitoshi, siku nyingine tena...
Habari,
Naomba kuuliza swali hili, Isidingo imeonyeshwa miaka mingi sana ITV nani alikuwa anamlipa mwenzake, maana miaka na miaka nakuwa nacheck tu.
Pia naona imekuja pia tamthilia nyingine tofauti na Isidingo kuisha.
Pigia Yesu Makofi 👏👏
MAJINA YAMAGARI YA TOYOTA NA MAANA ZAKE.
Kampuni ya Toyota ilianzishwa na mtu anayeitwa toyoda na si Toyota kama wengi wanavyofikiria . mwanzo ilikuwa ikijulikana kwa jina la katakana . kampuni ya Toyota ni ya mtu na famila yake .
katika ukuaji wa biashara , katakana co.ltd , ilibadilishwa ...
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
HAPA KAZI TU IENDELEE.
Leo nataka niwape fact moja Kuhusu Kujifia kwa Upinzani a natural death baada ya Mama Samia Kuchukua Nafasi ya Hayati JPM.
Kama ungeitishwa uchaguzi Leo hii, Mama Samia angemshinda Lissu kwa Zaidi ya 98% na hapo angemtibulia kabisa Dili lake la kuwekwa Unyumba huko...
Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote.
Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na sindano, pyuuuuuuuuuuuu
Awali ya yote, napenda kutumia fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii ya leo na pia sitakuwa mtenda haki bila kuwashukuru waanzilishi wa forum hii. Baada ya kusema hayo machache, ningependa kukushukuru na wewe unaetumia gharama zako kusoma uzi wangu, huenda kuna mabadiliko...
YUSUFU HAKUKUMBUKA NYUMBANI, HII INAMAANA GANI?
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Moja ya mambo yanayonitafakarisha ni kuhusu kisa cha Nabii Yusufu katika Biblia.
Kisa hiki Leo tutakiangazia katika pembe nyingine tofauti kabisa na vile tulivyozoea kufunzwa Makanisani na nyumba za Ibada.
Muhtasari...
Habari wadau!
Kwenye ile kesi ya "I can't breath" ya George Floyd Mmarekani mweusi kuna maneno nilikuwa nayasikia ambayo ni 1st degree, 2nd degree murderer na Ferony.
Pia kuna maneno kama Homocide, Suicide, Manslaughter je haya yanakuwa na maana gani kisheria na hukumu zake zipoje kwa hapa...
UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA
Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo
Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu
Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.
Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA:
Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
Hii ina mantiki kubwa. Ukatili ulio mwingi walifanyiwa wafuasi wa Chadema, ni vema CHADEMA ikaratibu ukusanyaji wa ushahidi dhidi ya Sabaya ili haki itendeke. Waandae waathirika waweze kutoa ushahidi wa kweli na si vinginevyo. Walindwe dhidi ya vitisho vya Sabaya na genge lake etc........
Hakimiliki ni utaratibu wa kisheria unaompa mmiliki wa kazi za akili haki ya kuamulia matumizi yake. Sheria za hakimiliki zinalenga kukinga watungaji wa kazi za akili dhidi ya matumizi ya kazi yao na wengine wanaojipatia faida kwa njia hiyo bila kumzingatia mtungaji anayeweza kukosa ruzuku...
Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo
Habari za awali zilizopatikana katika...
Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu.
Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake.
Halafu naona hata Usoni...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu.
Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.