Ubakaji kwa wenza walio katika ndoa ina maana gani?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote!

Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja!

Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko makubwa namna mpenzi wake alivyokuwa akimbaka na kumnyanyasa kijinsia!

Lakini pia Jana nimeona taarifa za Wastara akieleza kuwa mme wake alikua akimbaka.

Sasa wakuu, huku kubakwa na mwenza ambaye mko nae pamoja katika ndoa kukoje au Kuna maana gani?
 
Ki sheria nasikia hata mke wako ukimlazimisha kutoa papucino kwa kutumia nguvu basi ni umembaka, yani hata mkeo akitumia nguvu kujichukulia mkonga ni amekubaka
 
Kuna tukio moja nilikuwa nasoma mahali ,huko Russia kibaka alivamia saloon ya kike akakutana na mrembo mwenye saloon ,alizidiwa nguvu na mrembo akafungwa kamba akalishwa Viagra vya kutosha ,akamlazimisha kwa siku 3 halafu akamwachia ,jamaa alipoachwa akaenda polisi kwa kesi ya kubakwa ,mrembo alikiri akasema jamaa ni mpumbavu nimemlisha bure na nikamnunulia na suruali. ,Wote wakapewa kifungo
 
, hii nayo Kali!
 
Kumlazimisha mtu kufanyanae mapenzi(tendo la ndoa) kwa kutumia nguvu ama vitisho ni ubakaji haijalishi ni mme au mke wako wa ndoa.

NB: ni kwamjibu wa sheria
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom