Hii maana yake nini jamani, hapa kuna mkopo au ndiyo basi tena?

goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
728
1,000
Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii;

Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal
Because of the following reason(s);-
  • Incomplete Application Form Verification
Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa anieleweshe tafadhari

NB hio ...... kuna namba ya mwanafunzi nimefanya kuifuta
 
blackhawk

Senior Member
Feb 9, 2020
192
500
Fimu yako haijakamilika kuna mahala wends kwenye form ya appeal au ya kuombea mkopo hujaizaza na ni ya lazima
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,073
2,000
Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii;

Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal
Because of the following reason(s);-
  • Incomplete Application Form Verification
Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa anieleweshe tafadhari

NB hio ...... kuna namba ya mwanafunzi nimefanya kuifuta
Sikunyingine usijipe majukumu ambayo huyaelewi..
sasa sentesi ndogo hivyo imekusumbua nini?
 
goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
728
1,000
Fimu yako haijakamilika kuna mahala wends kwenye form ya appeal au ya kuombea mkopo hujaizaza na ni ya lazima
Lilikuwepo tatizo la cheti cha kuzaliwa, cha mwanzo walikikataa kwamba hakijathibitishwa na rita. Tukafuatilia na kupata cha rita na nikakiapload na kukiconfirm kwa utaratibu wanaoutaka.

Walipotoa mkopo awamu zote hakupata na mwisho wakasema aapeal ndio hivyo tena kuapeal wanasumbua
 
goodhearted

JF-Expert Member
Feb 15, 2015
728
1,000
Sikunyingine usijipe majukumu ambayo huyaelewi..
sasa sentesi ndogo hivyo imekusumbua nini?
Wakati mwingine kama huna cha kushauri it's better to https://jamii.app/JFUserGuide up ur rotten and stinking 😷😷😷mouth. Wewe unajua vyote vilivyomo duniani? Senge sana ww. Au unafikiri ndo nimeanza leo kufanya haya mambo!!
 
Obbasyk

New Member
Mar 26, 2020
1
20
Lilikuwepo tatizo la cheti cha kuzaliwa, cha mwanzo walikikataa kwamba hakijathibitishwa na rita. Tukafuatilia na kupata cha rita na nikakiapload na kukiconfirm kwa utaratibu wanaoutaka.

Walipotoa mkopo awamu zote hakupata na mwisho wakasema aapeal ndio hivyo tena kuapeal wanasumbua
Probably tatizo ndio hilo hilo bado kwasababu wanasema umeshindwa ku verify! Yawezakuwa katika ku upload labda bado uliupload hicho cheti chenye makosa au some other docs ambazo zilipaswa kuwa verified uliziupload zikiwa ni unverified
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom