James Ole Milya system ya nchi bado inakufanyia tathmini maana huaminiki una damu za kiharakati

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Wengi mnamkumbuka mwanasiasa James Ole Milya huyu amewahi kuwa mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Arusha na mbunge wa jimbo la Simanjiro.

Huyu ni aina ya vijana wapambanaji kwenye ulingo wa siasa hapa nchini tetesi ni kwamba awali alikuwa anabebwa na kundi la Friends Of Lowasa lakini baadae kundi hili lilimtupa.

Amepambana kwa juhudi zake kufikia ndoto zake lakini uhasama baina yake na mbunge wa jimbo la Misungwi mkoani Mwanza kijana Alexander Mnyeti ulimcost kwenye siasa maana alifanyiwa figisu mpaka ngazi za juu enzi za mwendazake na jina halikurejea.

Inaaminika kwa sasa system ya nchi ni kama vile bado inamwangali hainuamini maana ana element za upinzani hivi wachunguzi wanadai hata kundi la mama linaloongozwa na vijana kama wakina Ritz wanadai haakiniki tofauti na hapo wangempa nafasi awamu ya sita.

Vijana aina ya James kwenye nchi kama Tanzania hawa wapo tu huibuka kama upepo unaotoka kusini ghafla na kuwashangaza wengi kwani system ya nchi iko kimya inamfuatilia lakini yeye ana mipango yake na harakati zake safari hii hatujui ataibukia wapi.

Taifa kama Tanzania tunawahitaji vijana shupavu,wapambanaji na wasio na hofu katika mapambano yoyote kila la kheri James Ole Milya ni suala la muda tu lakini sisi wajuvi wa mambo nyota yako tunaiona mbali saaaana iking’aa endelea usikate tamaa system bado inakutathmini.

Adios Amigo....🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

6E31A774-656D-4867-B382-938355035041.jpeg
 
Adios Amigo....

View attachment 2004415
Kwa nini asijiajiri ? Kwa nini kuwaza kuteuliwa tu?
 
Back
Top Bottom