maajabu

  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    Mimi kama kawaida, niko upande wa wanaume na katu siachi kuwasanua wanaume wenzangu juu ya utapeli wa kingono. Hakuna maajabu. Nimefanya tendo la ndoa na wanawake wengi nimegundua kuwa hakuna jipya, wanawake ni overrated. Ukimwaga ndio utajua hili ninalolisema. Tunatumia pesa nyingi kuwinda...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Tuache majivuno, dunia ina maajabu yake

    Kuna nchi niliishi hapa Africa kwa muda wa miezi kadha. Kuna vitu nilinifunza Sana kwenye ile nchi. Kwa muda nilioishi pale, sijasikia watu wakitukana. Ile nchi Ina wasichana wazuri, cha ajabu hawajivuni kutokana na uzuri wao. Hawatembei uchi, wanavaa kwa kujisitiri. Niliona wasichana...
  4. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Dunia!

    Karibu tupate kufahamu machache kutoka kwa wenzetu huko! 1. New York, Marekani Jiji lla New York lilikuwa na utamaduni wa ajabu kidogo haswa katika miaka ya 1920s, kwani tarehe moja mwezi Mei ambayo kwa sasa tunaadhimisha sikukuu ya Wafanyakazi basi wapo ilikuwa ni siku ya kuhama maarufu kama...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mvua za Tanzania zina maajabu kweli kweli!

    Mvua za Tanzania ni za maajabu kweli kweli! Zinanyesha Maji yake yanakwenda kujaa kwenye mashamba ya miwa na kusababisha uzalishaji wa sukari kushuka na hivyo bei ya sukari kupanda hadi kufikia Tshs.5,000/= kwa kilo 1. ( Rejea maelezo ya Waziri Bashe)! Wakati huo huo mvua zinazonyesha Maji...
  9. stephot

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia

  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyehubiri Injili aswekwa jela, anayewapachika chupa watu makalioni aachiwa huru

    Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni Toa maoni yako
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mazayuni wanakiri miujiza na maajabu wanayokumbana nayo Gaza

    Tafsiri kwa msaada wa google. Mwanajeshi wa Kizayuni; Abu Ubaidah ni Jinn hatuwezi kuendelea kupigana nae. Ndugu na dada wapendwa katika siku za hivi karibuni Madai ya kushangaza yametolewa kuhusu Kiongozi wa Hamas Abu Ida Israel Wanajeshi wanasema kuwa Abu obida si binadamu lakini kwa kweli...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba? 2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
  14. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    EPISODE 2 Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika. ZIWA MOMELLA Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi. 1...
  15. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya Taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake

    YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE. EPISODE 1 Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili Wabunge wanaoshindwa kutimiza ahadi zao majimboni

    Moja ya jimbo linalotabiriwa kwenda upinzani ni jimbo la Kawe, hata hivyo tunayo miaka miwili mbele. Naamini yapo maoni yanayoweza kumwonyesha Mbunge husika alipokosea then aboreshe. Mchungaji Gwajima amepeleka bonanza na mchezo wa rede Kawe, amejenga madaraja na kufanya jogging zakutosha akiwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

    Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  19. unimaginable

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajira za Kampuni ya Nature's way

    Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata. Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi leo hii ndugu yangu mmoja kunipigia akiniomba pesa ili kufanikisha habari zake za ajira ktk kampuni...
  20. CHIEF MGALULA

    JamiiForums Tanzania MAAJABU YA UNGA WA MWANI

    Dear, Nimekuwa muhanga wa tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu, nikatambulishwa bidhaa ya mwani( seaweeds) toka nimeanza kutumia naona mabadiliko makubwa ya; 1.Gesi imekata kabisa 2.Pressure iko regulated vizuri. 3.Joint zimekuwa imara. 4. Yale mambo yetu ndio usisema. Tubadilike ndugu zangu tuanze...
Back
Top Bottom