maajabu

  1. BRN

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

    Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini. Soma Pia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania I can't believe what i'm seeing

    Mzuka JF members! I cant believe what I saw. A flock of eagles flying together and a pack of leopards hunting together. Jiisaaz
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

    Yaani kuna kitu huwa nashangaa sana utakuta humu mtu anasema vijana wanashinda kuzungumzia mpira hawalipambanii Taifa yaani mtu anaongea kama mwenyewe sio Mtanzania, yaani anamlaumu wenzake wakati naye yupo hai anaona yanayoendelea nchini na hajafanya chochote sijui anataka nani ampambanie. Hao...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba 🇨🇲 ◉ 02 - Years deal (Tsh 523 million) ◉ 16 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 03 - Assist Kibu Denis Prosper 🇹🇿 ◉ 02 - Years deal (Tsh 300 million) ◉ 26 - Games premier league 23 | 24 ◉ 01 - Goal scored. ◉ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  6. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Karibu Bongo ujionee maajabu ya Coastal Union

    ..𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗕𝗢𝗡𝗚𝗢 𝗨𝗝𝗜𝗢𝗡𝗘𝗘 Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024. Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union mwishoni mwa dirisha lilelile la usajili 2024 😎
  7. S

    JamiiForums Tanzania Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyonyanyaswa?

    Salaam Wakuu, Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana. Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii. Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar. Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi. Wafanyabiashara...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha na binadamu.

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja. Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao...
  10. instagramer

    JamiiForums Tanzania Haya nayo ni Maajabu kama ya Mwamposa!

    Ajabu la Kumi Na Nne La Tanzania Baada Ya Lile La Juu...
  11. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya Tanzania: Wanaopandishwa madaraja wanalipwa July hii! Wanadai malimbikizo ya misharaha miaka kibao hawalipwi

    Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo wanaodai malimbikizo? Mnapandisha madaraja mnalipa! Ila wenye malimbikizo ya miaka wala hamlipi hii ni...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Alphayo Kidata na maajabu ya kuteuliwa, kutenguliwa, kuvuvuliwa na kushtakiwa

    Huyu ni mojawapo ya Binadamu niliopata kuwafuatilia kidogo, tangu niliposikia jina lake lilitajwa kuwa amepewa dhamana Nchini. Hebu Tazama; 👇🏾👇🏾 DISEMBA 2015 - Aliteuliwa kuwa KAIMU Kamishna Mkuu TRA akitokea nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi aliyoitumikia tangu Agosti 2013. MACHI 2016...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, Muuza Madafu wa Ikulu atakuwa na maajabu ulingoni?

    Muuza Madafu wa Ikulu, Barnabas Alexander, leo atapanda ulingoni kuzichapa na Fredy Sebastian kwenye hii Dar Boxing Derby. Hii ni exhibition fight lakini mabondia wote ni wapya kwenye ulingo mbali na kuwa wanaonekana wanajua michezo. Je unadhani Komando Madafu atatoboa?
  14. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Kinywaji cha ulanzi: Tufumbue Fumbo la maajabu

    Habari za leo wakuu. Wanyalukolo nimewafikia na wote mkaao nyanda za juu kusini. Wengi mnafahamu kuhusu kinywaji cha ulanzi. Kinywaji hiki huzalishwa kutoka katika aina ya mmea wa ulanzi ambao pia upo maeneo mengi ya nchi hii na barani Afrika. Nina maswali yafutayo ambayo sina majibu. 1. Ni...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
  17. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mzee Kikwete ndiye baba wa Taifa, hao wengine mnaowasifu hawana maajabu

    Hello! Mambo mengi munayoyaona katika taifa hili yalifanyika kipindi cha Rais Kikwete na yale yaliyofanyika kipindi cha Magufuli na Samia mengi yaliasisiwa au kutiliwa mkazo zaidi kipindi cha Kikwete. Kipindi cha Magufuli tumetangaziwa viwanda hewa maelfu kwa maelfu, kipindi cha Samia sijui...
  19. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). Sheria ya T zinapokutana

    Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa. Mfano: 1. streeT Town. Neno hili litatamkwa stree 'Town. 2...
  20. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya pili). Kwanini wazungu hatuwaelewi?

    Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza, KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI WAKIONGEA BAADHI YA MANENO KWA KINGEREZA? Jawabu la swali hili ni rahisi tu, kwanza unatakiwa uwe na...
Back
Top Bottom