Ni maajabu, Frank Kanyusi kurejeshwa kuwa bosi RITA

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali mbali ikiwemo mimi na watu wenye fedha au vyeo.

KANYUSI alikuwa anakula dili na kuvuta hela kwa matajiri na viongozi wenye ushawishi then yeye anakuja kutoa maelekezo ya kukiuka sheria kwa watendaji wa chini yake. Kutokana na hili aliwasababishia matatizo wafanyakazi wake na wengine kupelekea kupewa kesi za uhujumu uchumi akiwemo NOEL SHANI aliyekuwa mwanasheria na msajili msaidizi wa BRELA. Baada ya uchafu mwingi BRELA mwaka 2018 aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara alitengua nafasi yake ya utendaji mkuu wa BRELA, na kuhamishiwa kusoma magazeti ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mtwara mpaka pale alipoteuliwa mwaka huu kuwa Mtendaji mkuu wa RITA.

Uteuzi wake kuwa mtendaji mkuu wa RITA ulinishangaza sana iweje mtu aliyetolewa kwenye ofisi moja ya umma kwa sababu ya makando kando yake apewe tena nafasi kama hiyo kwenye ofisi nyingine ya Umma? Kwamba kati ya watanzania ziaid ya 60m hamna watu waadilifu wanaoweza kushika wadhifa huo isipokuwa FRANK KANYUSI?

Ninawasihi wafanyakazi wa RITA wawe makini na mtu huyu anayelindwa na mfumo kwamba maelekezo yeyote wanayopewa nae wahakikishe yanakuwa kwenye maandishi na wahifadhi kama ushahidi ili baadae yasije kuwakuta yaliyowakuta wenzao wa BRELA ambaao wengine walipelekwa mahakamani kwa kesi za ML na wengine wakifukuzwa kazi wakati huo yeye Kanyusi anapulizwa na viyoyozi kwenye ofisi nyingine za uma.
 
Mapema mwezi wa saba mwaka huu raisi Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe i nyingine za uma.
Toka muandike ule ujinga wenu na akina asbert ngulumo,mpk mda huu ninakuona wewe ni takataka kbs,huna lolote jema ndani ya akili na moyo wako,japo ni kweli ulichoandika juu ya ufisadi wa huyu mtu,lkn nakuona na wewe ni fisadi mwenzie tu.
 
Tumeandika nini mimi na Ngurumo mkuu?
 
Mapema mwezi wa saba mwaka huu raisi Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA ilikuwa inanuka rushwa, kipindi ambacho watu wengi walidhulumiwa kampuni au shares kwenye makampuni mbali mbali ikiwemo mimi na watu
Ina maana wasaidizi wa mh raisi huwa hawawafanyii Vetting hawa wateule mpaka tuletewe watu wenye makando kando?
 
Tumeandika nini mimi na Ngurumo mkuu?
Ha ha 😂 itakuwa kajua Wewe Jesse Kwayu waliendika kitabu Cha am the state. Genge la kina ngurumo na kibanda waliotumika kumchafua shujaa wa Africa kwa kutumiwa na mafisadi. Sasa wanasubiri kulipa gharama 😂😂
 
Toka muandike ule ujinga wenu na akina asbert ngulumo,mpk mda huu ninakuona wewe ni takataka kbs,huna lolote jema ndani ya akili na moyo wako,japo ni kweli ulichoandika juu ya ufisadi wa huyu mtu,lkn nakuona na wewe ni fisadi mwenzie tu.
Yule ni Jesse Kwayu 😂😂😂 hata mie niliwadharau sana ila ni hulka yao kutumikia mafisadi kubadilisha ukweli kuwa uongo. Dawa yao makonda karudi na yupo huko huko kwenye media, watalipa gharama
 
Mimi siyo JESSE 🤣
Ha ha 😂 itakuwa kajua Wewe Jesse Kwayu waliendika kitabu Cha am the state. Genge la kina ngurumo na kibanda waliotumika kumchafua shujaa wa Africa kwa kutumiwa na mafisadi. Sasa wanasubiri kulipa gharama 😂😂
 
Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho yeye Kanyusi anapulizwa na viyoyozi kwenye ofisi nyingine za uma.
Mkuu Kwayu , sasa hapo kuna maajabu gani?!, mbona hiyo ni kawaida sana!. Huyo sii wa kwanza na sio wa mwisho!.
P
 
Back
Top Bottom