Maajabu ya Ajira za Kampuni ya Nature's way

unimaginable

Member
Jan 31, 2017
14
13
Wadau kuna kampuni hii ngeni kwangu naombeni taarifa kwa anayeifahamu vizuri mana napata ukakasi sana kwa taarifa nilizopata.

Kwanza niseme wazi hii kampuni nilikuwa sijawahi isikia popote hadi leo hii ndugu yangu mmoja kunipigia akiniomba pesa ili kufanikisha habari zake za ajira ktk kampuni hii ya Nature's way.

Ndugu yangu huyu anadai alipata taarifa ya hizo nafasi za kazi kutoka kwa rafiki yake anayefanya kazi kwny hiyo kampuni baada ya kupigika sana mtaani. Alivyoambiwa hizo habari akakurupuka na kuanza safari ya kuvuka mipaka ya mkoa wake kisha mkoa wa pili hadi kuingia mkoa wa tatu wa Singida zilipo nafasi za kazi za kampuni hiyo, kwa taarifa nilizopata hivi punde nasikia kampuni hii ipo karibia mikoa yote Tanzania.

Kufupisha hii story ndugu yangu huyu ni Form 4 aliyezungusha duara lkn habari alizonipatia kafauru vizuri sana katika interview na seminar ya mafunzo ya kuuza dawa za kampuni hiyo. Sasa baada ya kufauru zinahitajiika pesa ili ajira yake iwe confirmed na hicho ndo chanzo cha yeye kunitafuta.

Anadai hiyo kampuni inahitaji jumla ya Tsh 380,000 ambapo :-

240,000 ameshazilipa yeye mwenyewe na anadai pesa hizi ni dhamana ya ajira yake, na anadai kwamba wanarudishiwa sehemu ya hizo pesa kila tar 15 ya mwezi atakapokuwa kazini though inategemeana na performance yake kazini na anaweza lipwa hadi Laki 1 kwa mara moja.

30,000 ya kutengenezewa kitambulisho hasa cha kuzaliwa hapo hapo singida ili aweze kufungua akaunti bank mana hana kitambulisho chochote.

10,000 ya kufungulia akaunti though hakunipa maelezo ya kutosha kama yeye ndo anakuwa nayo au ni ofisi.

100,000 anasema hii ni uniform ya mashati mawili ya ofisi ambayo watapewa na ofisi.

Wadau kwa mujibu wa maelezo ya ndugu huyu nimepata ukakasi mkubwa dhidi ya namna alivyopata kazi pia hata mauza uza ya hizo pesa.

Nimeleta hili suala hapa jukwaani ili kupata uelewa zaidi mana huenda kuna watu wanaijua hii kampuni vizuri lkn pia nijue zaidi hizi ajira zenye mwenendo wa namna hii nimfumbue macho huyu ndugu hata wengine wapate elimu kuhusu hii kampuni mana utapeli umekuwa changamoto sana nchi hii na serikali inakuja kustuka wananchi wakishapigwa.

Karibuni sana.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wakipata vijana 100 tu tayari wana 38,000,000 kibindoni.. Yaani ukiitiwa fursa jua wewe ndio hiyo fursa yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
240,000 ameshazilipa yeye mwenyewe na anadai pesa hizi ni dhamana ya ajira yake, na anadai kwamba wanarudishiwa sehemu ya hizo pesa kila tar 15 ya mwezi atakapokuwa kazini though inategemeana na performance yake kazini na anaweza lipwa hadi Laki 1 kwa mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1699401431152.png
 
Hawa ni sawa na NEO-LIFE wapo hapa Dar Mwenge. Wanauza madawa wanayodai ni food suppliments ila kiingilio ni pesa. Wako kwenye mfumo uleule wa network marketing unaoliza watanzania. mshauri achukue hela yake akafanye jambo jingine
 
Back
Top Bottom