Water witching au kwa jina lingine inafahamika kama dowsing ni Njia maarufu na ya kale inayotumika kutambua uwepo wa maji chini ya ardhi ,Yani kama unataka kuchimba kisima Cha maji sasa ili kutambua ni sehemu gani Kuna mwamba wa maji unatumia Njia hii .
Njia hii inasemekani ni ya muda mrefu...
Qur'an
Sayansi yote iko kwenye kitabu hiki, Qur'an ni muongozo wa Mwanadamu. Nani unabisha?
Kila kitu kwenye Qur'an kimetabanaishwa, kuhusu kuwepo kwa mbingu saba. Jinsi upatikanaji wa mtoto (Damu + Mifupa + pande la nyama mwisho mtoto) vyote wametoa kwenye Qur'an.
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Haris amekuja Tanzania, na moja ya sehemu atakazo tembelea ni Tanzania startup assocciation, binafsi yangu nilisubiria kwa hamu kuona hao watu atakao kutana nao nione idea zao
To be honest nimekua dissapoint sana kwa watu ambao wamepewa nafas ya kukutana na...
Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)!
Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi...
1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga.
2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee.
3. Aache Dharau
4. Aache Ujivuni
5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga.
6. Apunguze Sifa zake...
Hello 👋 brothers n sisters Good afternoon!
Tuanze na huu mkasa hapa fuatana nami hadi mwisho. Kuna nyumba hapa Masaki location x, ni ghorofa ya floor moja tuu ndani ina swimming pool, car parking, ina mifumo ya cctv na iko fully furnished. Mmiliki wa hii nyumba ni marehemu Deborah mwenyeji wa...
1. KWANZA WAFUGAJI WA NGURUWE SIJUI WANALITAMBUA ILI KUWA NGURUWE NIKINGA YA MASHETANI Yaani yeye anachukiwa na mashetani/wachawi🤔😂😂
2. MFUPA WA NG'URUWE NI KINGA tosha kujiweka mbali na WACHAWI au nguvu za giza.
NA UFANYAJE UNAWEZA KUWA NAO KWA POCHI YAKO AU UKAUFUNGA KWA KITAMBAA /UKAWEKA...
Sasa ni saa 48 umeme haujakatika hata fraction of a second! Haijawahi tokea !
Maji leo ni siku ya kumi hakuna hata tone! Ngoja tuombe maajabu yatokee na huku kwenye maji.
1. Hizo PhD za kusomea zimeleta maajabu kwenye Uchumi, Jamii ya ki-Tanzania? Nchi hii tuliwahi kuwa Na Waziri wa Mambo ya Nje baadae Katiba na Sheria (PhD holder) alifuata Dawa za Mitishamba (feki) na ndege (full-paid) Madagscar.
2. Sasa mnaipamba PhD utadhani wenye nazo wanajielewa.?
29.1.2023 Necta imetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2022, matokeo haya yamekuja na utaratibu mpya ambapo hakuna kutajwa nafasi ya shule kitaifa na kimkoa maana yake pia hakuna utaratibu wa kutaja shule zilizoongoza kitaifa sanjari na hayo NECTA imefuta utaratibu wa kutaja wanafunzi...
Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu.
Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii.
Kijiji kiliundwa...
Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu
Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM.
Siku ambayo hao watatu...
Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022.
Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia.
Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11.
Asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.