maajabu

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maporomoko ya Kalambo yanatajwa kuwa maajabu ya Afrika yaliyoficha zama za Binadamu?

    Tanzania nchi yangu. Maporomoko ya Kalambo.
  3. Chura

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

    29.1.2023 Necta imetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2022, matokeo haya yamekuja na utaratibu mpya ambapo hakuna kutajwa nafasi ya shule kitaifa na kimkoa maana yake pia hakuna utaratibu wa kutaja shule zilizoongoza kitaifa sanjari na hayo NECTA imefuta utaratibu wa kutaja wanafunzi...
  4. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu. Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
  5. Happycuit

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  6. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

    Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
  7. F

    JamiiForums Tanzania Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hapa nayazungumzia magijwi hodari wa kujenga na kutetea hoja. Ni watu ambao kwa mfanano wamebeba taswira za Baba wa taifa kimaono, Dkt. Magufuli kiutendaji na Dkt. Kikwete kiuzungumzaji. 'Combination' ya watu hao kwa hakika ndio itakayeleta upinzani wa kweli kwa CCM. Siku ambayo hao watatu...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Bei ya mafuta yapanda tena hadi 3247 Dar, wakati soko la dunia ikishuka mara dufu

    #BIASHARA Bei ya rejareja ya mafuta ya petroli katika mwezi Desemba 2022 kwa mkoa wa Dar es Salaam, imepungua kwa shilingi 59 kwa lita ambapo petroli itauzwa shilingi 2,827 kwa lita, na bei ya dizeli pia imepungua na itauzwa kwa shilingi 3,247 kwa lita. Bei hizi zitaanza kutumika kesho Desemba...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa na vyuo na graduates wengi wa IT hapa Tz kwanini hakuna maajabu wanayofanya?

    Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni amateurs ila tu kinachowabeba ni magamba (vyeti) - IT, computer science, computer engineering, cyber...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

    Salaam wakuu, Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Maajabu na miujiza ni nini?

    Eti wakuu, maajabu na miujiza ni vitu gani? Ni vitu vinavyotokea vikipingana na sheria za ulimwengu au ni mambo yanayotokea lakini tunashindwa kuyaelezea kutokana na uelewa wetu? Je kitu kinaweza kutokea na kupingana na sheria za ulimwengu/fizikia.
  14. A d o l f

    JamiiForums Tanzania Yanga yafanya maajabu Tunisia

    Dar es Salaam Young Africans yaishangaza Afrika baada yakupindua meza kibabe nchini Tunisia katika mchezo wa marudio wa kombe la shirikisho barani Afrika CAF confederation cup baada yakuichapa 1-0 klabu ya Club African. Yanga ilipata ushindi wake mnamo dakika ya 79 kupitia kiungo mshambuliaji...
  15. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Iran ni nchi ya maajabu sana

    Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya kiuchumi, kijeshi nk, tena vimekuwa vikiongezwa siku hadi siku. Tofauti na ilivyo kwa nchi nyingine kama...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watanzania wapata Golden Buzzer Australia's Got Talent

    Wanasarakasi kutoka Tanzania, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Hamisi waliiwakilisha Tanzania katika jukwaa la kusaka vipaji, Australia's Got Talent. Wawili hao ambao wanajiita "Ramadhan Brothers" walionesha umahiri mkubwa kwenye sarakasi na michezo hatari hali iliyofanya majaji wote wawakubali...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Siku 2 ofisini, mama Stergomena Tax naye kafanya kosa lilelile la Mulamula

    Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea. Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

    Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba. Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Niliamka katikati ya ndoto lakini bado nikabaki usingizini, na nikijaribu kujiamsha inashindikana kabisa

    Baada ya kujaribu mara kadhaa ili niamke na kushindikana nikaona isiwe tabu, wacha nitulie tu labda nitaamka mwemyewe tu, lakini ikawa inashindikana. Baada ya kuwaza kidogo, nikaona nijaribu ku-imagine naendesha V8 nione itakuwaje, kweli bhana, kugeuza shingo naona V8 nyeusi kalii imeandikwa...
  20. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kutisha ya Mto Rutale (Chemchem ya Rutale) - Kigoma Ujiji

    Miondoko hii ya maandishi haijafanyiwa utafiti wowote bali ni nadharia za kusikika kutoka kwa mashuhuda mbalimbali kunako mtikisiko wa maajabu ya chemchem hii kongwe ya Kanyabeza inayopatikana eneo la Rutale, pia unaweza kuita chemchemya Rutale hivyo unaruhusiwa kupinga au kukubali, kupunguza au...
Back
Top Bottom