GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
1. Kupenda kutamka kila mara ( kuwaita Watu ) Wajinga.
2. Kupenda kutumia Maneno ya Kiarabu / Kiislamu Redioni kwani hasikilizwi na Waislamu wenzake pekee.
3. Aache Dharau
4. Aache Ujivuni
5. Aache kudhani kila ambaye bado hajafanikiwa Kimaisha kajitakia au ni Mjinga.
6. Apunguze Sifa zake za Kipuuzi
7. Aache Kulazimisha kwakuwa Yeye ni Sheikh na Daktari basi kila anachoamua Yeye ndiyo sahihi kwa Watanzania na Wasikilizaji wote..
GENTAMYCINE ni kama Bahari ambayo daima huwa haikai na Uchafu hata kidogo.
Otherwise hongereni Radio One hasa Dada Farhia Middley, Mzee Haji Kibwana na Wengineo wote kwa kuwa na Kipindi chenu kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili na Mimi GENTAMYCINE nikiwa ni Balozi wake wa Kujiteua kilazima na huwa sikosi Kusikiliza Kipindi hiki pendwa na Kizuri ambacho sishauri Member yoyote wa JamiiForums awe anakikosa.
Imeisha hiyo......!!!!!!