Mwaka huu wa Fedha kumekuwa na usumbufu mkubwa kwa wafanyabiashara wanapoenda kukata leseni za biashara. Mfanyabiashara anapofika kwa Afisa Biashara anaelekezwa kufanya taratibu zote akitakiwa kwenda kwenye Internet cafe ili kukamilisha taratibu zote za kupata leseni.
Aidha wanaombwa na...
Tume ya Utangazaji imeitaka WASAFI FM Radio kulipa faini ya Tsh. Milioni 5 kwa kuvunja masharti ya leseni kwa kuidanganya Tume juu ya Studio zao za Unguja kutotumika kwa vipindi vya aina yoyote kwa karibu miezi mitatu sasa
Tume imeitoza ZBC Faini Tsh. Milioni 1 kwa kipindi cha MICHAPO kuonyesha...
Twende haraka kwenye mada,
Taarifa zilizotufikia Kutoka vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa Hali ni Tete mitaani,
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ameanzisha operation ya kuwasaka wote wasio na Leseni Hadi nyakati za usiku.
Ikumbukwe kuwa ,wapo wafanyabiashara wa kipato Cha chini wasio na uwezo wa...
Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
Kupitia kurasa rasmi za Wizara ya Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetoa taarifa ya mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo yameomba kwa hiyari na kwa mujibu wa sheria kufutiwa usajili na Wizara imetangaza kufuta usajili wa taasisi hizo.
Katika orodha hiyo limo jina la Mo...
Kuna wakati niliwahi kuja na uzi hapa nikimlalamikia Waziri wa Fedha kutwa na usiku anasaini mikataba ya kuomba mikopo ilihali kwenye data base yake ya kuhusu watu wanao omba leseni za biashara mbalimbali wamewasilisha Maombi ili waweze kukata leseni na kufanya biashara.
Binafsi nilikuwa mhanga...
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.
Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
Tumesikia huko Mbeya madereva na wenye magari wamegoma kusafirisha abiria kati ya Mbeya na Tunduma na kuzua taharuki kwa wananchi wasafiri.
Huo ni utovu wa nidhamu na kiherehere, kama kuongezeka kwa mafuta yameongezeka nchi nzima. Kuna taratibu za kuongeza nauli na LATRA iko kwenye mchakato. Ni...
Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote.
Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini.
Swali.
Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa?
===
Kwa mujibu...
Zambia imekuwa Nchi ya 6 barani Afrika kuridhia uwekezaji wa Kampuni ya SpaceX kuanza kutoa huduma za Intaneti yenye kasi zaidi kupitia Starlink, hatua inayotajwa kuwa itapunguza urasimu kwa Watoa huduma waliopo pamoja na kuongeza Ubora wa Mawasiliano ya Mtandao.
Kampuni ya Starlink...
Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma.
Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
Wananachi wa Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, kwa ujumla wao, wakishirikiana na wachimbaji wa madini wadogo wanaomba Mh Waziri wa Madini kupitia Tume ya Madini , kuifuta leseni ya utafiti PL 6973/2011 inayomilikiwa na kampuni ya Dondoro Minerals Limited.
Leseni hiyo ya utafiti...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
Wale mabwana wana njaa hatari, hata buku buku wanachukua. Ole wako utoe leseni bila kiambatanisho utaulizwa hadi "herro, kwa nini tairi za gari yako zina vumbi?, nakuandikia kosa.
Ukiombwa leseni, toa na kiambatanisho baadaye utakuja nishukuru nimekaa pale!.
Habari!
Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested
Mawasiliano.
0672650624
Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida.
Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock.
Inaudhi sana.
STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI
Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe
Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo
Dodoma
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.