Emir wa Qattar asema Israel isipewe leseni ya kuendelea kuua. Israel yamtaka katibu mkuu UN ajiuzulu kwa kuwatetea Wapalestina wanaoangamizwa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,186
10,924
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.

Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi hiyo.Aliongeza kuishutumu jumuiya ya kimataifa kwa undumiwakuwili pale wanaposikitikia watoto wa Israel waliokufa na kuona watoto wa kipalestina ni kama si binadamu.

Qatari emir says Israel should not be given ‘free licence to kill’ in Gaza

Wakati huo huo balozi wa Israel kwenye umoja wa mataifa amemtaka katibu mkuu wa jumuiya hiyo,Antonio Guteres ajiuzulu.Katibu mkuu huyo amesema mashambulizi ya kushtusha ya Hamas hayahalalishi kutolewa hukumu ya jumla kwa raia wote.Vile vile amesema mashambulio hayo ya Hamas hayakutokea hivi hivi bila sababu

Israel ambassador calls for UN Secretary General to resign
Huko Gaza juhudi kubwa za kuachiwa kwa mateka zaidi zinaendelea japo zimekumbwa na vikwazo vingi.Moja ya masharti ya Hamas ni kuruhusiwa misaada kuingia eneo hilo yakiwemo mafuta.Israel imesema suala la mafuta haliwezi kujadiliwa na kwamba hata kama Hamas watawaachia mateka wote basi mafuta hayataingia tena jimbioni humo.

Hayo yote yakitokea kuna taarifa kuwa wapalestina jimboni humo tayari wameishiwa na maji na chakula na wameanza kutumia maji machafu kwa kunywa
 
Next time Hamas wajifunze never poke a 🐻 na fimbo, tafuta kwanza RPG iwe mkononi mwako,waliyaanza sasa wanatapatapa,na nchi zote kuanzia Irani, 🇦🇪 etc why zinabweka tu pembeni?why hazifanyi push back against Israel?,inashangaza sana na wakimbizi wengi wa nchi hizo wamekimbilia kwa mabeberu!,
 
Wamekaa wakaona hakuna siku watazipata hizo RPG ndio maana wakatumia chuma chakavu kuunda madude yanayoruka lakini pia yanauwa.Hizo ni tabia za kibinadamu ukimkandamiza sana hupata akili ya kujitetea.
 
Next time Hamas wajifunze never poke a 🐻 na fimbo, tafuta kwanza RPG iwe mkononi mwako,waliyaanza sasa wanatapatapa,na nchi zote kuanzia Irani, 🇦🇪 etc why zinabweka tu pembeni?why hazifanyi push back against Israel?,inashangaza sana na wakimbizi wengi wa nchi hizo wamekimbilia kwa mabeberu!,
Wapelekee salamu basi watakusikiliza
 
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.

Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi hiyo.Aliongeza kuishutumu jumuiya ya kimataifa kwa undumiwakuwili pale wanaposikitikia watoto wa Israel waliokufa na kuona watoto wa kipalestina ni kama si binadamu.

Qatari emir says Israel should not be given ‘free licence to kill’ in Gaza

Wakati huo huo balozi wa Israel kwenye umoja wa mataifa amemtaka katibu mkuu wa jumuiya hiyo,Antonio Guteres ajiuzulu.Katibu mkuu huyo amesema mashambulizi ya kushtusha ya Hamas hayahalalishi kutolewa hukumu ya jumla kwa raia wote.Vile vile amesema mashambulio hayo ya Hamas hayakutokea hivi hivi bila sababu

Israel ambassador calls for UN Secretary General to resign
Huko Gaza juhudi kubwa za kuachiwa kwa mateka zaidi zinaendelea japo zimekumbwa na vikwazo vingi.Moja ya masharti ya Hamas ni kuruhusiwa misaada kuingia eneo hilo yakiwemo mafuta.Israel imesema suala la mafuta haliwezi kujadiliwa na kwamba hata kama Hamas watawaachia mateka wote basi mafuta hayataingia tena jimbioni humo.

Hayo yote yakitokea kuna taarifa kuwa wapalestina jimboni humo tayari wameishiwa na maji na chakula na wameanza kutumia maji machafu kwa kunywa
nani wa kuzuia? anajifurahisha tu uyu. na wao ndio wamewapa hamas ofisi qatar, ndiko wanaoperate from.
 
ila hamas ipewe kibali?
 
Back
Top Bottom