leseni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mafundi umeme watakiwa kuwa na leseni

    Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka. Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
  2. encyclopaedia Tanzaree

    JamiiForums Tanzania Leseni mbili za biashara kwenye ofisi moja

    Habari wakuu, kutokana na hali ya biashara kuwa ngumu imetulazimu baadhi ya wafanyabiashara kufanya biashara zaidi ya moja kwenye jengo moja ili kuongeza kipato na kupunguza gharama za uendeshaji. Jambo hili linatuweka matatani baadhi yetu kwa kugombana sana na watu wa leseni wakidai kwamba...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TCRA: Utoaji wa Leseni za Maudhui Mtandaoni umesitishwa hadi Juni 30, 2021

    Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Mihayo akizungumza kwenye Usiku wa Waandishi wa Habari na Wadau wa Habari Kanda ya Ziwa katika ukumbi wa Gold Crest Hotel Jijini Mwanza. Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha utoaji wa leseni za Maudhui Mtandaoni kwa muda kuanzia...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania LATRA yawataka wenye mabasi ya abiria kuanza kutumia tiketi za mtandao, watakaoshindwa kufanya hivyo kufutiwa leseni

    Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo . Bado haijajulikana sababu hasa za wenye mabasi ya abiria kulazimishwa kufuata utaratibu huu mpya huku...
  5. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya leseni za Drones serikali igeukie CCTV Camera

    Tanzania ni nchi tajiri sana. Serikali ya awamu ya tano imetukumbusha kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato vinavyoweza kuleta makusanyo mengi ya kodi kupitia serikali kuu, mashirika ya umma na Mamlaka za serikali za Mitaa. Baada ya kugundua chanzo kipya ambacho ni leseni za kurusha ndege zisizo na...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza leseni za biashara zitolewe na TRA badala ya manispaa, pia SDL ilitolewe TRA badala ya manispaa

    Hii itapunguza sana urasimu wa kuzungusha watu kutoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine kufuatilia vibali vya aina mbali mbali ambavyo vingeweza kutolewa na taasisi moja tu kwa urahisi sana. Mfano , kuna haja gani ya kwenda kuchukua leseni manispaa badala ya TRA ambao ndio wanatoa Tax clearance...
  7. D

    JamiiForums Tanzania DED Manispaa ya Morogoro mbona Devotha Minja ulimuweza, unashindwa nini kupambana na mchwa wala rushwa za leseni za biashara?

    Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako...
  8. Kelela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya Maudhui ya Mtandaoni TCRA

    Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza? Maana leseni kwa mwaka ni Tsh 500,000 - 1,000,000
  9. Sirai

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nimesoma nursing midwife degree post intern Ila sijapa leseni

    Naitwa Paul s peter nimesoma bsc.nursing midwife intern nimefanya muhimbili sijapata lesen bado. Nina ujuzi wa computer kiasi Nmefundisha tuition Nimechoma chips Nahitaji kazi yoyote naomba Wana jamii mnisaidie Tel 0689052541
  10. S

    JamiiForums Tanzania Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

    Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni. Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na imefanya kazi kwa mda mfupi tu na tumerudi kulekule kwenye manual. Serikali inajitahidi lakini...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Emmanuel Manase, Mtumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA) alimtolea sime dereva wa lori akimtaka ampe leseni yake. Tukio hilo limeonekana kuwa na ugomvi mkubwa na baadae mtumishi huyo aliamuru dereva aandikiwe faini ya Tsh. 500,000 ili kumkomoa. Umoja wa Wamiliki wa Mabasi...
  12. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

  13. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nimewaza Ujinga: Kwanini magari yasigome kuwaka mpaka dereva atakapochomeka leseni yake na funguo kwa pamoja?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini kusiwe na mfumo ambao utawezesha, licha ya kwamba engine imewashwa kwa funguo, lakini bado gari itagoma kuwaka mpaka utakapochomeka pia leseni yako ya udereva? Yaaani kunakuwa na direct contact baina ya...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

    Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni. Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu kumiliki leseni ya udereva?

    Habari zenu. Kwa dunia inavosonga mbele, siku izi tunashuhudia uwepo wa honda zinazotumia umeme zikiwepo nchini kwetu Tanzania. Na magari pia yapo yanayotumia umeme. Mimi ningependa kujua kuhusu leseni ya uendeshaji wa hivi vyombo vya umeme, sheria inasemaje? Je ime specify kuwa ni vyombo vya...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jana tumempoteza mwenzetu kwa ujinga wa dereva pikipiki asiye na leseni, wengi hawana

    Kuna vitu tukiiiendeleza tutashia kuzikana kila siku, kuna hili jamboo linakera sanaa sanaa. Kuna asilimia 75% ya madereva wa pikipiki hawana leseni sisemi kuwatisha. Kama hamuamini waanze operesheni wakishirikiana na TAKUKURU na maofisa wa makao makuu muone. Anzeni njia ya Mwenge Kawe, nendeni...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania Leseni za maudhui ya mtandao zitafanya wasio na hela wakose pa kuongea

    Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea. Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Leseni ya biashara

    Habari zenu! Hivi ili kuomba zabuni za kukusanya ushuru, leseni yake inaitwaje na inapatikana wapi? Natanguliza shukrani.
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji sifuri: Mtandao wa malipo TRA Mbeya hauturusu kupata leseni za Udereva

    Ni kama utani vile lakini ndio hali halisi. Mtandao wa kupata leseni za Udereva kwa wiki mbili na zaidi haupo hovyo hata kulipia huwezi kabisa, Mbaya zaidi hawajatangazia Umma hiki kitu. Iweje mtandao tuliosuka wenyewe utusumbue kihivyo, au hao wataalamu wa IT ni wajomba wa watu fulani...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imevifutia leseni za uuzaji wa mafuta vituo vitano, kwa makosa ya kuficha, kutouza na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wa nishati hiyo wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali. Akizungumza...
Back
Top Bottom