Je, Leseni hii inaruhusu kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber au Faras?

African Geek

JF-Expert Member
Jul 29, 2022
781
1,356
20240304_151135.jpg

Habari za muda huu waungwana.

Nina leseni ya udereva yenye madaraja A, A2, B, D, E, F & G. Je nitaweza kujisajili kama dereva wa Bolt, Uber, Faras, nk kwa kutumia leseni yenye madaraja haya?

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom