Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.
Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:
Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
Mjumbe hauwawi. Nimeikuta sehemu wadau wa Tabora UTD wakiilalamikia TFF kuwa wamekuwa wakichelewesha leseni za wachezaji hasa wa kigeni kwa makusudi kwa maslahi yao.
Hili limeikumba Tabora UTD kwani wachezaji wao tegemezi mpaka muda huu hawajapewa leseni na TFF. Inawesemekana ni makusudi ili...
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo.
● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa.
Dodoma
Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kiasi cha maombi 2648 ya utafutaji wa madini yamefutwa na kuondolewa kutokana na...
Hizi leseni mbona zinatolewa kwa upendeleo na maombi yetu yanaambiwa hayasikilizwi kwa kuwa hakuna board, wote wamestaafu huku wachimbaji wengine wakipewa leseni
Waziri Mavunde hebu tusaidie na sie tuweze pata leseni tuendele na kazi sababu ukisema tusubiri board ipitishe inakuaje wengine...
Anonymous
Thread
haki ya wachimbaji wadogo wa madini
leseni
madini
tume ya madini
wachimbaji
wadogo
Nashauri serikali ipeleke muswada wa sheria unaoondoa ulazima wa kulipia ada za T.L.S ili kupata leseni ya uwakili, hii pia itaondoa lile sharti la points ambazo hupatikana kwa wakili kuhudhuria semina. Vitu hivi ndivyo huifanya T.L.S ipate fedha, kwa sasa Mwabukusi atatumia fedha hizo kutukana...
Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo
Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu?
Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa?
Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo
Najuta sitarudia tena!
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za wachimbaji wadogo.
Mavunde pia ametangaza operesheni maalum kwa watumishi wasio waadilifu na kumtaka Katibu...
Wamiliki wa paka jijini Nairobi sasa watalazimika kulipa Sh200 kama ada ya leseni kwa serikali ya kaunti.
Hii ni miongoni mwa mapendekezo yaliyomo kwenye Muswada wa Udhibiti na Ustawi wa Wanyama wa Kaunti ya Jiji la Nairobi wa mwaka 2024.
Muswada huu unashughulikia nyanja mbalimbali za...
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80
Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama unavoiona hapo.
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI
-Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba
-Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga
-Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani
Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA
-Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari
-Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni
-Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde mkoani Shinyanga katika Kijiji cha Mandu, machimbo ya Ntambalale Wilayani Kahama alipotembelea kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo.
Amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kuhakikisha kero zote zinazowakabili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.