lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taifa linalotaka maendeleo, ni lazima lizingatie uadilifu

    TAIFA LINALOTAKA MAENDELEO, NI LAZIMA LIZINGATIE UADILIFU Na Elius Ndabila 0768239284 Mjadala unotawala hivi sasa mitaani na kwenye mitandao ya kijamii nchini, ni kuhusu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ambayo imeibua mambo mengiambayo yanaonyesha kwamba baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania ‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza

    Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta. Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli. Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina...
  3. JamiiForums Tanzania Sio lazima kuwa na mtazamo hasi kwa kila kilichofanywa/anzishwa na Hayati Dkt. Magufuli

    Ni kama kumejitokeza bidii ya kujaribu kuipa mitazamo hasi karibu kwa kila jambo au mradi ulioasisiwa na Mwendazake. Kwa mfano mradi kama wa Bwawa la Julius Nyerere, mimi ni kati ya Watu waliokuwa wanapinga kuwekeza matrilioni ya pesa za Walipakodi kwa mradi unaotegemea maji, ambayo tayari...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Makato ya mkopo lazima yamuache Mfanyakazi na kiasi kinachomtosha kujikimu

    Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, utaratibu uliopo, mfanyakazi anayekopa kwa makubaliano ya kukatwa mshahara wake ni lazima abakiwe na kiasi kinachomtosha kujikimu mahitaji yake Sheria ya Kurejesha Madeni ya mwaka 1970, mfanyakazi hatakiwi kukatwa zaidi ya theluthi mbili ya mshahara wake ghafi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba kaa mbali na wanafiki wanaokuzunguka, ni watu hatari sana

    By Daniel Mjema Mwanchi 10/04/2021 Kwanza nawasalimu kwa salaam ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Tende kwenye hoja, Kwa miaka mitano na ushee, tumeshuhudia kuibuka kwa kundi ambalo nasema ni la watu wanafiki, ambao husifia hata pale pasipostahili kusifia huku wakigeuza ukosoaji kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Angalizo: CCM ni CCM; lazima yeyote iliyompa dhamana aelewe sera na matakwa yake

    Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake. Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake. CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

    Habari wadau..! Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali ianzishe utaratibu wa lazima kwa kila raia kijana kujitolea Jeshini

    Habari wadau..! Leo nilikuwa na ushauri kwa serikali yetu na jeshi letu maana naona wanajipendelea sana,yani jeshi ndio linajipa peke yake jukumu la kulinda nchi wakati jukumu hilo ni la kila raia ,lakini raia tutawezaji kujilinda na kulinda Taifa siku za usoni wakati hatuna mbinu za kijeshi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

    Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lazima Maamuzi Magumu yafanyike hiki kipindi cha mpito (Transition)

    Kipindi cha miaka mitano na ushee, sheria na taratibu nyingi zilivurugwa. Kiufupi heshima juu ya Katiba na Sheria zilipuuzwa na wakati fulani zilitungwa sheria kuhakikisha mafanikio yanapatikana. Sasa hivi wengi wamezinduka. Wengine waliamua kufungia akili zao makabitini na kutanguliza matumbo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima mjue matajiri nasi tuna haki kama Watanzania wengine

    Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri. Mnaanzisha...
  12. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Mipango ovu ya mabeberu: "Afrika lazima ibaki maskini siku zote"

    VIDEO hapa chini ilianza kusambaa mnamo mwaka 2019 juu ya mipango ya kuhakikisha nchi za kiafrika kubaki maskini na tegemezi kwa nchi za magharibi iwe jua, iwe mvua. Na hii ndio inayoitwa hasa VITA YA KIUCHUMI kama hayati wetu JPM alisisitiza kuwa nayo makini kwani ni ngumu mno zaidi ya vita...
  14. JamiiForums Tanzania "Ndugu yako yuko wapi? Damu yake inanililia udongoni"

    "NDUGU YAKO YUKO WAPI? DAMU YAKE INANILILIA UDONGONI" Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pita pita zangu kwenye kitabu cha Biblia, nilianza kusoma kitabu cha mwanzo sura ya 1, 2, 3 nilipofika sura ya 4 nikashangaa akili yangu ikipata fikra mbalimbali. Nikashangaa nikimkumbuka Ben Saanane...
  15. JamiiForums Tanzania Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye Kigogo2014 au Kigogo Kigogo basi angepatiwa donge nono. Kufikia hapo macho yakanitoka, si unajua tena...
  16. JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

  20. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Waziri Ndugulile: Vibao vya anuani za makazi sasa liwe zoezi la lazima

    Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…