lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

    Tuchukulie kwa mfano mtu anakuja kukushawishi akukopeshe pesa kiasi cha milioni 100 ili ujenge nyumba ya kuishi; ila sasa masharti ya huo mkopo ni kwamba lazima ramani za jemgo, vifaa vya kujengea, BOQ, na mafundi wote watoke kwake huyo anaekukopesha. Halafu huyo anaekukopesha anakuletea ramani...
  2. Ukitaka Ndoa yako iwe na Furaha; lazima uzingatie hili

    UKITAKA NDOA YAKO IWE YA FURAHA, ZINGATIA KANUNI YA MFANANO Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili nimeliandika kuisaidia jamii hasa kuponya fikra za wale ambao bado hawajaoa/kuolewa. Bila shaka andiko hili litakusaidia kwa sehemu kubwa ikiwa utalizingatia. Moja ya makosa makubwa yanayofanywa...
  3. Lazima ugeuze shingo

    Mpaka dkt bashiru
  4. Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  5. Ujio wa kitabu cha Nyuma ya Mapazi na Lazima Ufe Joram

    Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala mbalimbali zilizoandika na hayati Mtobwa. Vitabu hivyo ni kama; 1. Mikataba ya kishetani 10,000 2...
  6. P

    Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  7. Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

    Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
  8. Serikali inakosea sana inapohisi kwamba nchi ina upungufu wa walimu tu

    Habari wadau! Kiukweli serikali imekuwa ikiwapa sana kipaumbele walimu katika kuajiri pasipo kuangalia upungufu kwenye kada nyingine ambazo nazo zina umuhimu. Serikali ijitahidi kuajiri na kada nyingine kupunguza tatizo la ajira. Ngoja niende kwenye maada kuu kiukweli nchi haina upungufu tu...
  9. M

    Wanawake hasa wa miaka hii ya utandawazi wakifanikiwa kama wapo kwenye uchumba au ndoa lazima iteteleke (asilimia kubwa sio wote)ipo

    Habari zenu wandugu.. Nimependa nilete hii mada. Hivi ni kwanini wanawake wanashindwa kumudu mafanikio hasa wa miaka hii ya utandawazi. Mfano wa kweli kuna watu wengi nawafahamu wanawake zao baada ya kufanikiwa wakavunja mahusiano.. Pia hata Mimi ishawahi nitokea kuna binti nilikuwa nae...
  10. Kwani Ufaulu Kidato cha nne ni lazima ili Kusomea Ufundi?

    Kwani Ufaulu Kidato cha Nne ni Lazima ili Kusomea Ufundi? Kwa mfano, kijana anataka kusoma mafunzo ya ufundi (VTC/VETA/NTA Level IV): Kwa nini baadhi wanaweka masharti ya kwamba alete cheti cha ufaulu kidato cha nne? Nielimisheni tafadhali.
  11. J

    CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  12. TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

    Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
  13. Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke. Hakuna anaejali. Unasikilizwa kwa mbinde. Meneja hapatikani. Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje! Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%. Hali ni mbaya sana...
  14. Wito kwa CAF na FIFA wafuatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe fundisho

    Wito kwa CAF na FIFA wafwatilie kwa karibu sakata Yanga na Simba, lazima adhabu itolewe iwe Fundisho, kama kweli ratiba ilibadilishwa kwa sababu za itifaki ya kitabu kuwa kuna huduma zingine hii halikubaliki, kwani kabla ya hayo masaa 24 ratiba hiyo ya kiserekal ilikuwa haitambuliki? Yani...
  15. J

    RPC Muroto atoa onyo kwa BAWACHA, asema wanaotaka kuandamana watakipata wanachokitafuta wakasimulie wenzao huko Geita

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola. Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
  16. Kila mtoto duniani lazima afanane na baba yake.

    Huu ndio ukweli. Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake. Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao. Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake. Huwezi kuwa na doubt juu...
  17. P

    Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
  18. J

    Tusisahau: Ili uwe mwenyekiti wa CCM ni lazima kwanza uwe ni Rais wa JMT!

    Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM. Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti. Ramadhan kareem!
  19. E

    Legacy iliyoandikwa kwa vitendo haiwezi kufutwa kwa maneno ukitaka kuifuta legacy ni lazima ukubali kuyatoa maisha yako kwaajili ya wa Tanzania maskin

    Sasa watu wamebaki wanapambana na legacy ya JPM. Basi tuseme tukwamba pengo lake halitozibika mpaka watakapo gombana na legacy na kuishinda. Na legacy ya huyu JPM haiwezi kufutwa kwa maneno, never. Namimi nasema Legacy inatengenezwa kwa vitendo na sio maneno, wakuifuta legacy inatakiwa aifute...
  20. Bisu likigusa mfupa lazima maumivu yasikike, tusibeze maumivu yanayotikana na bisu.

    Shujaa wa dunia ameondoka kiajabuajabu. Hata kama alikuwa na ugonjwa huo kwa miaka kumi lakini mbona imekuwa kiajabu? Mungu ndie kila kitu na akiamua kumchukua mtu hakuna wa kuzuia. Lakini mbona alikuwa akipiga pushup kama hata matatizo yoyote? Mbona alikuwa anasafiri kwa gari umbali mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…