Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando,
Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
Crdb bank wanampongeza makamu mwenyekiti wa bodi yao kuteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya ATCL.
Maana yake huyu ni mjumbe wa bodi 2 na nyingine nyingi, hapo posho za vikao sio za kitoto. Wakati huo huo ni mwalimu wa chuo kikuu.
Juzi mliona wajumbe wa Jakaya Kikwete Foundation, wengine DCB Bank...
Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo
Utoaji wa chanjo kwa watoto utaanza rasmi 2022. Watu wa Costa Rica wanarekodi ya kugomea chanjo kadhaa kwa watoto
Kuanzia Januari 8...
Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa.
Sio sawa kwa machinga kufanya biashara yake eneo hilo milele, ni lazima mmachinga apewe muda maalum...
"Katiba nayo lazima ifuate mahitaji ya wakati uliopo,kwa hiyo kama mahitaji yanabadilika kulingana na nyakati zinavyobadilika. Lazima katiba nayo ibadilike. Katiba lazima ifuate mahitaji ya nchi kwa wakati uliopo, kwa hiyo sina ubishi na madai ya katiba mpya"- Pius Msekwa
ITV Dakika45.
Wadau Salam kwenu
Moja kwa moja kwenye mada
Katika uchunguzi wangu nimebaini kuwa kuna wizara kadhaa ambazo lait kama leo hii Mh. Rais Samia angeniomba kumshauri kuzifuta kwa lengo la kupunguza ukubwa wa serikali ili kubana matumizi ya serikali yasiyokuwa na ulazima basi ningemshauri kuzifuta...
Habari developer, mimi sipo vizuri sana kwenye coding lakini nashukuru angalau napata uelewa mpana kila siku
Sasa nataka nianze kutumia visual studio ide, balaa ni hizo component baadh baadh sizielew je kuna umuhimu wa kujua zote na kazi zake
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.
" Hakuna kama Samaia "
Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
"Waziri Mkuu Kasim Majaliwa Amesema kutokana na Utendaji wa Rais Samia Suluhu Anaupiga Mwingi Kama Vijana wanavyoendelea kusema na Mungu akijaalia Ataifikisha Vizuri Tanzania Mwaka 2025 na Mungu akijaalia atamaliza Salama Mwaka 2030" Ameyasema hayo Kwenye Kampeni ya Maendeleo ya Ustawi wa Taifa...
Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year...
Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi.
Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
33341
Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu.
Watu wanarukaruka na kushangilia kwa pambio na ngonjera za kutosha huku wakijua Wanasema uongo, tofauti na ukweli huo tokeni...
Kuna jambo moja ambalo Rais Samia huenda bado hajaligundua ni kuhusu nafasi yake ya kisiasa kuwa imetengenezwa na nguvu ya siasa za vyama kuwatumia wanawake kama mtaji wa kisiasa ili kupata madaraka au kuendelea kuwa madarakani na kamwe sio kuwapa wanawake madaraka ili wawatale wanaume.
Pili...
Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri?
Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri?
Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
Wanamazengo,
Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine?
Sote tunajua...
Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali.
Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka kwenye utumiaji wa watu kwenda kwenye utumiaji wa mashine, vyombo vya usafiri, kutoka kutembea kwa...
Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, iangalie uwezekano wa kuifanya chanjo ya ugonjwa huo kuwa ya lazima.
Wito huo wameutoa, kufuatia vifo vinavyoendelea kuwakumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.