lazima

Lazima is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina sera ya kutofungamana na yoyote, ni lazima iheshimiwe!

    Tanzania ina sera ya kutofungamana na yoyote kati ya Magharibi au Mashariki. Hili linaeleweka miaka yote. Kitendo cha Umoja wa Ulaya kutaka Afrika na Tanzania watoe tamko dhidi ya Urusi ni kuingilia Uhuru wetu. Tunatambua kuwa tunapata msaada mkubwa kutoka "west" lakini hii isiwe sababu ya...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  4. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

    Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa. Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtu aliesema hata mpinzani akishinda uchaguzi asitangazwe, ni lazima aenziwe hata kwa unafiki kwani kawabeba wengi

    Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe. Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine yabaki kuwa masuala mtambuka, si lazima kuwekwa kwenye mtaala

    Kumekuwa na wanaharakati wengi sana wa masuala mbalimbali ya kijamii, ambao wamekuwa wakitamani kile wanachokitetea au kuelimisha kiwekwe kwenye mitaala ya elimu. Binafsi nadhani si kila kitu lazima kiwekwe kwenye mtaala. Wanafunzi wana mambo mengi sana ya kujifunza ili waweze kujitegemea na...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kabla sijafa, lazima nioe wake wengi

    Mimi ni Mkristo Safi, ila aliyesema kuoa wake wengi dhambi alikosea kwani hata Yakobo au Israel alikuwa na mke zaidi ya mmoja. Mambo ya kuoa kamke kamoja ni kujidhulumu nafsi. Natafuta pesa ya kiinua mgongo changu Mwenyewe maana si jaajiriwa na nikiiipata nitaoa Sana na kuzaa watoto wengi Sana...
  9. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msamaha kwa 'Mwamba' ulikuwa ni wa lazima ili Taifa lipate Misaada ya Fedha nyingi kwa Watoaji wa Kimataifa wasiopenda Uonevu

    Baaada ya 'Mwamba' kutoka sasa ni wazi zile Pesa za Msaada kutoka Marekani na Uingereza zitatoka ili zingine tuzichezee, tuzifuje, tuzihifadhi kwa Matumizi 'Maalum' ya 2025 na nyingi zitakazobakia tukakijenge zaidi Kisiwa chetu na Chenji apewe Baba Mshauri wa Pwani ya Kaskazini mwa nchi.
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mageti ya Hospitali yana ulazima gani kulindwa na makampuni ya ulinzi?

    Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuhonga ni lazima ila Kuna kanuni zake. Zijue kanuni za kuhonga.

    Kanuni kuu ya kuhonga inasema hivi: " MWANAMKE SIKUPI HELA KWA SABABU NINATAKA UNIPENDE ILA NINAKUPA HELA KWA SABABU 1. NINA KUPENDA 2. NINAJIPENDA. Kama una mpa Pesa mwanamke ili akupende basi jua kwa hakika kwamba wewe ni mpumbavu Kwa Sababu ni mwanaume mpumbavu peke yake ndio ana amini...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tusipofanya sasa, Tutajuta Milele, ni lazima Wamasai waondoke Ngorongoro

    Amani iwe nanyi Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali maendeleo ya Tanzania yetu, Ni lazima wamasai waondoke Ngorongoro ili lile eneo liendelee kuwa na wanyama...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

    Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma. Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa. Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job...
  16. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

    Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari. Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku inayofuata aje na nguvu mpya na mawazo mapya. Amekuwa sana na utaratibu huo ambao kwa kweli umekuwa...
  18. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kutembea na mizigo isiyo ya lazima mwilini mwangu

    Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ni mada gani ya debate hata iweje lazima umshinde mpinzani wako?

    Kuna mada mbalimbali ambazo kwa namna moja au nyingine ukikutana nayo mbele yako hakuna atakaye weza kukupindua. Ni mada gani? Nikiri kuwa 'mabishano/majibizano ya hoja' ni sanaa na katika sanaa hii kuna watu wanakipaji haswa katika hilo. Kuna watu hawezi kuwsshinda inapokuja jambo. Na kuna...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Lazima ujifunze haya

    LAZIMA UJIFUNZE MAMBO HAYA. Anaandika Robert HERIEL Yule Mtibeli. Lazima ujifunze kuona pasipo kutumia macho. Tena ujifunze kusikia pasipo kutumia masikio. Kama haitoshi ujifunze kusema pasipo kutumia mdomo, Kwa maana Maisha ni vita isiyohitaji hayo, tena ni mbio zisizohitaji Farasi. Niite...
Back
Top Bottom