Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika.
Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea...
hABAR WADAU
Fax ndio kitu gan na nawezaje kikitumia apa ofisin kuna orinter kubwa ina fax ndan yake ila hiki kitu ni kigen sana kwangu nimeiconnect na ethernet cable from zuku fiber sasa nimebaki na vitu viwili hio ethernet cable ilioenda kwenye printer itasaidia nini na nn
kushare printer...
Habari wana JF!
Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF
Thank you🙏
photography17
Unakuta mtu anasema:" yani huyu mtoto kafanana na baba yake COPYRIGHT!" Hivi ni sahihi kweli kutumia neno hili kufananisha watu/vitu?
Ukisoma maana yake ni tofauti na jinsi neno linavyotumika. Tusaidiane hapo je ni sahihi kutumia neno hili ama sivyo? kama sivyo tutumie neno lipi?
Asante
Habari zenu waungwana, napenda kujua na kufahamu, kuna madirisha yale wanayotumia sana maeneo ya vijijini yenye kuwa na baridi sana, napenda kujua gharama ya vioo vyake hua ni vidogo, mfano kioo cha cm 36 kwa 45 ndio vipo vingi na vingine vikubwa vyake vipo cm 98-33 napenda kujua gharama yake na...
Hivi kwa nini tulipe tozo kutumia daraja la KIGAMBONI lilojengwa na siye wenyewe kwa kutumia kodi zetu, hata kama ni mkopo toka nje, huo mkopo unalipwa na kodi zetu.
Wakati viongozi wanatumbua kodi zetu na trip za ulaya na malupulupu ya kishenzi hata kulipa mishahara watu hewa na wafu...
Na Ronald Mutie
Edith Nyambura ni mama wa watoto wawili haoni haya wala kuogopa kuelezea hali yake ya HIV.
Alifahamu kuwa ana virusi vya HIV kuanzia mwaka wa 1998, lakini alianza kutumia dawa mara moja na kupata ushauri nasaha kuhusu jinsi ya kuishi na virusi hivyo.
Wakati dunia ikiadhimisha...
Habari zenu wadau.
Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:
NAKALA YA TIN CERTIFICATE
NAKALA YA KITAMBULISHO
BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya.
Upotoshaji unapata nafasi kwasababu hii kesi ni ya kisiasa kiasi kwamba hata Polisi wanaolewa utaratibu ukoje wanaweza wasiseme ukweli...
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Habari walimu!!
Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
Kufuatia wafanyabiashara wadogo kuandika barua TAMISEMI wakiomba kutumia majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa yaliyopo mitaa ya Tandamti na Msimbazi kwa ajili shughuli zao, Wizara ya Ardhi imeridhia ombi hilo lakini kwa kuwapa majengo matatu yaliyopo mtaa wa Nyamwezi na Mkunguni karibu kabisa...
Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi?
Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.