Je, umewahi kutumia calculator ya tsh 370,000 -tsh 600,000?

KingOligarchy

Senior Member
Sep 28, 2013
130
350
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania,

Nikiwa nimetua Tanzania kutoka urusi, kumalizia mambo yangu ya propaganda za kichumi za hapa na pale! nkakutana na maoligarchy wenzangu flani wa kibongo.

sasa mmoja akanitonya kwamba kuna mchongo flani anataka kunipe kitengo mahali nikisimamie sema ndo vile nahitaji kuwa na kijicheti flani hivi.

Mara ghafla nikacheki hiko cheti kinaitwa CFA 0 charterd Financial Analyst unatolewaCFA Institute! ebwana kuangalia juu juu nikachukulia pouwa.

lakini majibu ya mtihani ya level 1, mwaka huu yakanitoa kamasi yani kati ya watahiniwa 197,000 duniani nzima wamepita watu asilimia 22 tu, SIO POWA

Nikaangalia statistics yani Tanzania tuna full CFA holders WA 5 tu, nkachoka. Kucheki kenya nikaona kama 197 wapo ila kwa ujumla africa nzima wapo 2,000
MMMH, sawa so hawa wenye CFA wanakuwaga ma portfolio manager au investment banking au Investment officers huko! ukiangalia salary band ya kazi yao sana sana UN mfano uncdf

world bank chini ya IFC , African developmnet Bank ,MINIMUM SALARY YAO NI 120,000 $ PER ANNUM yani kama usd $12,000 kwa mwezi! tamu hyoooo

ANYWAY NISITOKE OFF TOPIC , kwahyo nikasema sawa ila nikaambiwa natakliwa kuwa na calculator, ila calculator zetu hizi utapata tabu ila ukinunua Texas instrument latest utatisha.

DUH, for the first time in my life sijawahi sikia calculator inaitwa hvyo! fasta nikainigia kwenye mtandao nikasearch Model niliyopewa Ti-84 Plus CE calculator.

Yani Texas iunstrument model ya 84 Plus, mzigo ukajimwaga wa amazon kama hivi.


1634281264875.png


Mambo ya Dollar hayo ! mzigo uko amazon, hesabu zangu zikaniambia huu mzigo niutafute kibongo bongo nione inakuaje nikaadd neno TANZANIA pale.

nikapata website flani hivi! sasa sijui ni dropshipper hawa anyways mzigo ukasoma kama hapo chini

1634281388348.png


TSH 377,328.00 , huu ni mshahara wa kima cha chini sio.?

isiwe kesi mwanaume nikachukua pesa zangu za kirusi (russian ruble) nilipiga mishe sana urusi za kusambaza voda! unajua maji ya kunywa ni expensive kuliko vodka urusi ahahahhahaha. back to the topic nikaenda kuumuuzia dogo moja hivi nililitafutia chuo Moscow mwaka 2011 nikamuuzia akanipa chap! kama m2 hv! kama 150, 000.00 nkaitumbua chap chap pale pale - nilienda sehemu moja inaitwa VVIP mikocheni pale Nkapata kisinia cha 60,000.00 na sheesha kama buku 30 na drinks za wana Fasta! Asubuhi nkamcheki mwanangu mmoja wa madili

akaenda kunitafutia BOOOOOOOOOOOOOM, mzigo umepatikana posta bhana! jamaa akaniambia bei ni 385,000 so nimtumie hela aniunulie! Kuwa oligarchy sio mchezo mchezo siamini watu mapema nkatoka nkapanda kwenye Chevrolet yangu Chap mpaka posta (usiogope hii chevy nilinunua kwenye mnada TRA kama milioni 48 tu, sio zile za kupasua watu vichwa kama camaro ni SUV moja tu) anyway back to the topic kucheki nikakuta bei ni 350,000.00 kumbe mwana kaongeza mbuku 35! njaa hizi hahahahhaha. sio kesi nkaichukua hyo calculator! TATIZO MATUMIZI

1425464322889


MZIGO WA KIBONGO ULIOZOELEKA HUO HAPO, kwanza hii calculator unacharge kama simu, mzigo upo colored! unaongelea kitu screen kubwa Hatari

Hii texas bhana inachora hadi mambo yetu ya x and y axis, mzigo una formula za mathematics! wakati wenzetu wako juu wanatumia macalculator kama haya
sisi tunahangaika kukariri periodic table. Sasa bhana kumbe mzigo unaweza ukaaunganisha kwenye computer, ukaupload had notsi! kama nawaona wazee wa kamati vyuo vya bongo

Anayways mzigo ni hatari na pesa yake ni ndefu , safi sana sasa angalia mizigo mingine uamini calculator ni expensive sio hizi kina casio

TOP MOST EXPENSIVE CALCULATORS

Texas Instruments TI-92 Plus

Texas-Instruments-TI-92-Plus-1.jpg


Casio Fx-cg20 Limited Edition

Value: 249 USD

Casio-Fx-cg20-Limited-Edition-1.jpg

Texas Instruments Voyage 200

Value: 279 USD
Texas-Instruments-Voyage-200-1.jpg

Victor 1460-3

Value: 294 USD
Victor-1460-3-1.jpg

Texas Instruments TI-86

Value: 299 USD
Texas-Instruments-TI-86-1.jpg

HP 19BII Financial Calculator

Value: 299 USD
HP-19BII-Financial-Calculator-1.jpg

SUQIAOQIAO New 100% Calculator

Value: 919 USD
SUQIAOQIAO-New-100-Calculator-1.jpg

Texas Instruments Math Etica Ti 83PLUS

Value: 1,500 USD
Texas-Instruments-Math-etica-Ti-83PLUS-1.jpg

Grillet portable Calculator

Value: 1,55,000 USD
Grillet-portable-Calculator-1.jpg


Picha ya MZigo niliovuta! nimesave maformula tu humo ndani! sisi watu wa finance na investment ndo mambo yetu! hapa nikifanya Advisory ya M&A yaani Merger and Acquisition au Nkawatafutia Deal Kampuni za Private Equity nakunja asilimia zangu 2% mambo swafiiiiiiiii...... hivi unajua makampuni ya PE yanapenda sana kuinvest bongo tatizo makampuni yaliyokuwepo hayaqualify yani wanataka mpunga kidogo (500,000$ - 1million $) , wakati wazee wa PE wanatoa minimum10m $ huko ili Oligarchy nikifanya advisory nikunje 2% tu! raha ya Finance & Investment here! anyway niache porojo mzigo ndo kama huo

1634283489110.png
 
Daah, asubuhi yote hii umeshapiga OH kisawasawa mpaka imekukamata kichwa
am keeping this bottle for jioni< inabidi nimalize mihesabu flani hivi! then i go Mikocheni pale palm village kuna Manzi yangu mmoja wa Kisouth (SA) - MZANSI ! mtoto huyu kabila lake ni Xhosa kutoka kwa madiba hukoooo ! yani hawa wanatokea koo za nguni . kule madiba wengi sana wako Eastern cape. kama umefika mzansi eastern cape ni baharini , yani it so beautiful ! MAISHA HAYA.

huyu manzi nilikutana nae kwenye mishe mishe zangu joberg huko ! mi nakula flight na yeye anakula flight! nikasema HAKUNA DEMU DUNIANI HAPENDI FOREIGNERS , HAPINDUI halafu sikujifanya najua sana ngeli wala nini ni mixer ngeli swahili! mtoto si akasema anapenda lafudhi yangu mi nimetokea nchi gani KAUMIAAAAAAA....hahahah dah maisha haya! anyways nina mastori mob . ntahadithia stori kama stori yake pembeni, ila huyu manzi ananikoshaga mi sipindui kwake ANA SHAPE halafu anajua MAPENZI yaani. halafu ni Brain (kichwa) ! Ashawahi pindua meza zaidi ya Mara 3 ili mambo yaende ! Thandiwe ndo jina lake, kwakweli ananipa rahaaaaaaaaa


Nawatakia weeklend njema


616234-527Wx527H
 
Hivi viumbe ni balaaaa jamani..... sijui wameniroga wasouth! sema naogopa tu kuspend kule maana wakijua unakula pisi zao ni shaba tu.
ila hivi viumbe!
Hahahahahah wa South ni ma Lifeist sana yani kama mtu wakupenda demu aliyechangamka basi kule ndio penyewe😂
 
Back
Top Bottom