Nataka kutumia Viagra

SHIGOTTO

Member
Sep 4, 2018
91
125
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).

Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa.

Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo.

Je, naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hii?

Nawakilisha
 

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
17,479
2,000
sasa ukenge wangu nini si tunapeana ushauri tuuu ndugu, kama unavyoniambia nakuelewa mbona!
Ukenge wako kuja kuomba ushauri wakati ushatia mguu mmoja ndani.. Ungekuja hapa ukaelezea tatizo, watu wakushauri, sasa hapo unasema unataka kutumia viagara si ndio unajimaliza kabisa.
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
14,164
2,000
Achana na masildenafil..kama ni stress za siku moja relax jiamini unaweza kupeleka moto fresh..relax mambo yatakuwa poa.

Ukitumia viagra ndo unatengeneza dependence(utegemezi) wa kudumu hivyo..na pia kama una matatizo ya moyo na pressure ni kama unajitafutia kifo.
 

Sir Midabwada

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
1,192
2,000
Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume
Unafanya kaz gan kwanz nianglie 'risk factor'
 

Joseph lebai

JF-Expert Member
Jul 19, 2017
6,351
2,000
Viagra inasabanisha pressure kupanda ili kuhakikisha damu inaongezeka kwenye penis, kwa kuimarisha erection. Unategemea moyo kulazimishwa kusukuma damu kwa wingi na una pressure ya kupanda inakuwaje?
 

_pjc_

Member
Aug 25, 2019
79
125
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye romance na mzee alikuwa yuko ngangari kabisa. Wakati tunaendelea na roms nikafika wakati wa kufanya mambo nilishangaaa stimu ilitoka kabisa kichwani na mambo yakawa mabovu ghafla, nilijitahidi kurudi mchezoni lakini sikufanikiwa kwani nilipatwa na msongo wa hali ya juu kuhusu hali ile na kwa vile muda ulikuwa haurusu basi shughuli ilishia hapo hapo. Je naweza kujuzwa ni jinsi gani viagra inavyoweza saidi katika hali kama hiiii?
Nawakilisha
Usitumie viagra boss na viagra siyo kwa ajili ya tatizo kama, jitahidi kupunguza stress, pumzika vizuri, fanya mazoezi na muhimu kula mlo uliyokamili na ukiona ni ngumu kwa mazingira yako au hali yako hairidhishi, karibu upate matibabu kwa njia ya virutubisho lishe (diaterysupplements)
Kwa mawasiliano piga +255715059944 pia utapata huduma za kitabibu bure(free consultation)
 

Sir Midabwada

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
1,192
2,000
Kuna thread nying mno z hii kesi na zinazofann n hii.. Kila siku wanasema wataalamu huwez kuijaji siku 1 kwa upunguf w nguv z kiume

Mimi nipo kwenye IT Industry kaka
Anhaaa how long you work a day!? It may be there's immediate situational reasons... Imejirudia mara ngap!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom