kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EINSTEIN112

    Viongozi wa nchi kutumia Twitter kutoa matamko wakati raia hatuna access

    Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
  2. X

    Ujenzi kutumia Interlocking blocks

    Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania? Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?
Back
Top Bottom